Ni aibu kwa mtu mwenye akili yako kutumia bendera ya nchi kama AVATAR
Ulipo utakuwa unaona aibu, wala hatutaomba mods "waifute" wala kuipa hadhi ya "moved"Leo nimeona nilete vijimambo japo kwa uchache tu kuhusiana na hiki CHAMA CHA USHIRIKA CHA WATU WA KASKAZINI.
baadhi ya mambo hayo ambayo naamini wengi wenu ama hamyajui au mnayajua ila mnaumia ndani kwa ndani ni pamoja na;
1.USIHOJI MAAMUZI YA MWENYEKITI (MBOWE) NA HURUHUSHWI KUGOMBEA NAFASI YAKE.
2.HUTAKIWI KUHOJI MAPATO NA MATUMIZI YA CHAMA.
3.UWE TAYARI KUJITOA MHANGA KWA MASLAHI YA WACHACHE (NA HASA VIONGOZI WA JUU)
4.DEMOKRASIA YA CHAMA NI "CENTRALIZED"(TOPDOWN SYSTEM) i.e wafuasi hawana maamuzi ila ni kupokea tu kutoka juu.
5.NI CHAMA AMBACHO HAKINA MPANGO WA KUJENGA HATA OFISI WILAYANI ILA VIONGOZI HUFANYA UFISADI KWA KUANZISHA 'OPERATIONS' KAMA VILE 'OPERATION CHOPA' NA NYINGI NYINGINE ILI WAJILIPE POSHO ZA KUTOSHA.
6.MICHANGO YA CHAMA IWE AMA KWA MICHANGO MIKUBWA AU KWA HARAMBEE ZINAZOIBUKA GHAFLA KAMA UYOGA MIKUTANONI HULIWA NA WAJANJA WACHACHE.
SOURCE;SOMEBODY IN JF.
my take;CHANGIA KWA HOJA NA SI KUTOKWA NA POVU.
NAWASILISHA WAKUU.
leo nimeona nilete vijimambo japo kwa uchache tu kuhusiana na hiki chama cha ushirika cha watu wa kaskazini.
Baadhi ya mambo hayo ambayo naamini wengi wenu ama hamyajui au mnayajua ila mnaumia ndani kwa ndani ni pamoja na;
1.usihoji maamuzi ya mwenyekiti (mbowe) na huruhushwi kugombea nafasi yake.
2.hutakiwi kuhoji mapato na matumizi ya chama.
3.uwe tayari kujitoa mhanga kwa maslahi ya wachache (na hasa viongozi wa juu)
4.demokrasia ya chama ni "centralized"(topdown system) i.e wafuasi hawana maamuzi ila ni kupokea tu kutoka juu.
5.ni chama ambacho hakina mpango wa kujenga hata ofisi wilayani ila viongozi hufanya ufisadi kwa kuanzisha 'operations' kama vile 'operation chopa' na nyingi nyingine ili wajilipe posho za kutosha.
6.michango ya chama iwe ama kwa michango mikubwa au kwa harambee zinazoibuka ghafla kama uyoga mikutanoni huliwa na wajanja wachache.
Source;somebody in jf.
My take;changia kwa hoja na si kutokwa na povu.
Nawasilisha wakuu.
Ulipo utakuwa unaona aibu, wala hatutaomba mods "waifute" wala kuipa hadhi ya "moved"
M4C Pamoja Daima
nitasema ukweli hata kama ukweli unauma...ahahahaaa
nitasema ukweli hata kama ukweli unauma...ahahahaaa