Usiyoyajua kuhusu CHADEMA

Usiyoyajua kuhusu CHADEMA

nitasema ukweli hata kama ukweli unauma...ahahahaaa

Mimi ningekuwa wewe ningeomba uzi huu ufutwe! Angalia reply zote unazopata. Haziendani na matarajio yako! Nadhani umeandika ukisubiri wakukusapoti. Hakuna mtu mzima mwenye akili zake fiti Mzalendo wa nchi hii tz (tananyika na zanzibar). Lakini wewe pole sana! Angalia yanayo jili kwasasa!
 
Kama nakuona vile! Umeachama mdomo waaa! Halafu hujui hata utakula nini leo wenzako wanaelea angani na chopa! Weekend kama kawa Dubaiii na nyumba ndogozo kupiga mashine, we unatokwa povu humu JF!

Kama ambavyo nawe unatoka povu hapa wenzaka wameshafikisha safari zaidi ya siku 365!!! Yaani mwaka mzima ni kusafiri na vimada vinatangulia kabla ya safari kuanza ili vikapumzike vipate kutoa huduma vizuri. Natokwa povu kwa ajili ya watanzania maskini wasiojua wale nini kesho yake na kwa siku ni mlo mmoja ili hali wana rasilimali na isitoshe hata ardhi wanapokonywa wanapewa eti wawekezaji uchwara!!!
 
KWA KUZURURA NA HIZO CHOPA NA KUJILIMBIKIZIA POSHO?

poor you..

Na zile Posho za Nape na Kinana na timu nzima iliibua mizigo nazo utasemaje??? OPD itawatoa kimasomaso!!! Poor you too!!
 
mimi ningekuwa wewe ningeomba uzi huu ufutwe! Angalia reply zote unazopata. Haziendani na matarajio yako! Nadhani umeandika ukisubiri wakukusapoti. Hakuna mtu mzima mwenye akili zake fiti mzalendo wa nchi hii tz (tananyika na zanzibar). Lakini wewe pole sana! Angalia yanayo jili kwasasa!

nimewagusa panapouma ati lazima mlalame kwa maumivu na ndo maana povu zinawatoka.
 
Nafikili wakati mwingine tujalibu kuoanisha hoja na mifano ili watu waelewe kilahisi kwani panaonekana ni sehem ya kihuni
 
Hoja mgando,hapa ndipo sisiem walipofanikiwa kutoa elimu isiyokuwa na tija na ambayo haimfikirishi mtu.Mbowe asipokuwa mwenyekiti itakusaidia nini? UPUUUUZI USIO NA MFANO KWA WATU WA AINA HII!!!!Hopeless
 
sio chama hicho ndugu yangu bali ni maharamia, majambazi na mafisadi
 
"Bangi nibangue,mirungi nirungue,pombe nipomboe nikizaa mtoto nimwite matko ya mama yake"
mada za kipuuzi inabidi uchangie upuuzi!
 
Back
Top Bottom