Usiyoyajua kuhusu CHADEMA

Usiyoyajua kuhusu CHADEMA

nani kakuambia chadema ni chama cha siasa? chadema ni saccos ya mtei,lema,mbowe na dr.slaa. hao waliobaki ni bendera fuata upepo tu...!
 
Buku 7 at work!!! Ila naona muziki wa CDM umekuwa mkali hata sound proof zinakataa!!!! CDM hoyeeeeeeeee!!!!
 
nani kakuambia chadema ni chama cha siasa? chadema ni saccos ya mtei,lema,mbowe na dr.slaa. hao waliobaki ni bendera fuata upepo tu...!

Kazi ipo sana tena sana!!!! Katika hiyo SACCOS naomba nitajiunga nayo maana inachapa kazi hadi kila mtanzania maskini na mwenye uchungu na hii nchi anaona na ndiyo maana homa inapanda na kushuka!!!! Go CDM , goooooo funga goal la Ronaldo mchezaji bora.
 
Nataka kugombea uenyekiti wa CCM Taifa uchaguzi lini?

SHIBUDA walimfanya nini alipotoa tamko kama la kwako? Huu uzi hauna mantiki yeyote. Great thinker unatuangusha baba shusha vitu vya maana watu waelimike. Ya chumbani kwa jirani yako unayatakia nini kama wewe sio mbeya? Mabadiliko yaja tena kwa kasi ya ajabu. ofisi za CCM nyingi zilijengwa wakati wa chama kimoja na wananchi wote walikuwa wanachangia uwe mwanachama au la!
 
Yale yale ...... Hebu jibu hoja za OPD maana hayo makelele yalikuwa ni mateke ya mwisho wakati masalia wanakufa!

OPD si ni Out patient Department? Ama kweli mko juu hadi mmeanzisha Kitengo cha kuhudumia wagonjwa kutoka nje kwa kutumia chopa. Lakini mnaowadhania kuwa ni wagonjwa, ni wazima wa buheri wa afya na wanawachora tu.
 
Wakati mwingine uwe unatumia Akili kufikiri siyo Mgongo,mgongo wako endelea kuutumia kubeba fikra MAKAPI za wakubwa zako wa CCM.Nani wa kuumia na huu ujinga ulioutuma,kajipange upya,kwasasa ni ngumu kama MWAMBA/JIWE kubadili fikra za watu kuhusu CHADEMA kwa propaganda za kitoto kama hizi.Walishajaribu wenzio wameshindwa yako wapi sasa!! Huwezi kumbadili fikra mtu anayeipenda CHADEMA kwasababu MFU kama hizi.Kwasasa watu hatuipendi CCM siyo kwasababu ya UWEPO wa CHADEMA Ila ni kwasababu inaitwa CCM.Usifikiri isipokuwepo CHADEMA tutaipenda tena CCM,Hayo ni mawazo SHOMBO.

Bavicha bana! Ili ukubalike lazima uwe kama mwehu mwehu vile! Sasa ndo umendika nini!
 
Buku 7 at work!!! Ila naona muziki wa CDM umekuwa mkali hata sound proof zinakataa!!!! CDM hoyeeeeeeeee!!!!

Kama nakuona vile! Umeachama mdomo waaa! Halafu hujui hata utakula nini leo wenzako wanaelea angani na chopa! Weekend kama kawa Dubaiii na nyumba ndogozo kupiga mashine, we unatokwa povu humu JF!
 
OPD si ni Out patient Department? Ama kweli mko juu hadi mmeanzisha Kitengo cha kuhudumia wagonjwa kutoka nje kwa kutumia chopa. Lakini mnaowadhania kuwa ni wagonjwa, ni wazima wa buheri wa afya na wanawachora tu.

Wanawatibu vichaa wenzao waliopo milembe day!
 
OPD si ni Out patient Department? Ama kweli mko juu hadi mmeanzisha Kitengo cha kuhudumia wagonjwa kutoka nje kwa kutumia chopa. Lakini mnaowadhania kuwa ni wagonjwa, ni wazima wa buheri wa afya na wanawachora tu.

mkuu umenena vyema,hawataamini kitakachotokea hawa.
 
OPD si ni Out patient Department? Ama kweli mko juu hadi mmeanzisha Kitengo cha kuhudumia wagonjwa kutoka nje kwa kutumia chopa. Lakini mnaowadhania kuwa ni wagonjwa, ni wazima wa buheri wa afya na wanawachora tu.

mkuu umenena vyema,hawataamini kitakachotokea hawa.najua leo hawajakuelewa ila ipo siku watakuelewa tu.
 
opd si ni out patient department? Ama kweli mko juu hadi mmeanzisha kitengo cha kuhudumia wagonjwa kutoka nje kwa kutumia chopa. Lakini mnaowadhania kuwa ni wagonjwa, ni wazima wa buheri wa afya na wanawachora tu.

umenena vyema mkuu,ila leo hawawezi kukuelewa ipo siku watakuelewa tu.
 
Kwa comments kama hizi,
9k=
 
kama nakuona vile! Umeachama mdomo waaa! Halafu hujui hata utakula nini leo wenzako wanaelea angani na chopa! Weekend kama kawa dubaiii na nyumba ndogozo kupiga mashine, we unatokwa povu humu jf!

ahahahaaa...ameshajitwisha viroba hapo hana hata habari.
 
Kazi ipo sana tena sana!!!! Katika hiyo SACCOS naomba nitajiunga nayo maana inachapa kazi hadi kila mtanzania maskini na mwenye uchungu na hii nchi anaona na ndiyo maana homa inapanda na kushuka!!!! Go CDM , goooooo funga goal la Ronaldo mchezaji bora.

KWA KUZURURA NA HIZO CHOPA NA KUJILIMBIKIZIA POSHO?

poor you..
 
Nataka kugombea uenyekiti wa CCM Taifa uchaguzi lini?

sana sana wakiona umekazana utatafutiwa sumu ya china au majambazi yakuingilie nyumbani kwako, hawanaga options zingine zaidi ya kuua au kutesa
 
Back
Top Bottom