Vipi Power No. 1? Hukuziona huko?Katika Mji wao mzuri wao wa Blantyre wana Barabara kuu moja tu ya Limbe ikipita kwenya uwanja wa mpira wa Kamuzu Banda. Mwisho wa barabara kuna maduka ya Wasukuma wengi yanaitwa swahili shops. Ila Wanatupenda sana Watanzania kwa kipindi cha miezi tisa niliyoishi pale niliwatafuta mno. Tatizo moja, Malawi ni kama Zambia na Zimbabwe hawana wanawake warembo. Nilichopenda Wamalawi hawajui 'kubagain' bei ya kitu, yaani wakienda dukani au sehemu yoyote kununua wakiambia ni kwacha 500 hawawezi kusema nipunguzie. Ukiomba tu kupunguziwa wanajua wewe ni Mbongo. Wana usafiri mzuri wa mabasi kutoka Blantyre hadi Johannesburg. Blantyre ni mji mzuri sana. Bia yao ni aina mbi tu Carlsberg na Carlsberg special malt. Ila kwa sasa wana import castle lager kutoka South. Mji wa Lilongwe ndio mbaya zaidi umejengwa hovyo hovyo tu sikuupenda nilikaa siku moja tu.
Ukiona Kobe juu ya mti amepandishwa huyo.Kwaiyo kipindi kile wanasema ziwa Nyasa lakwao walikuwa wanapewa kiburi na England
Hii ishu ya Mwalimu kuipiga Malawi mmeitoa wapi?Nakumbuka samora Machel alisema anaenda Zambia alirudi yeye na Nyerere waichape Malawi halafu wagawane,maskini Machel ndio hakurudi mzima
Nalog off
Huo uzushi unaousema wewe ndio ukamfikia machel na ndipo aliposema kuwa naenda Zambia nikirudi huko naenda kuongea na Nyerere ili tuichape Malawi halafu tugawaneHii ishu ya Mwalimu kuipiga Malawi mmeitoa wapi?
Kuna hotuba moja nilimsikia Mwalimu, wakati anaongelea ishu ya vita ya Uganda, alisema alilazimika kutuma ujumbe Malawi kwani Wafukunyuku walikuwa wameanza kuzusha kwa Kamuzu kuwa Mwalimu kamaliza kwa Amini sasa anakuja kwako.
Kwa hiyo kwa kifupi Mwalimu alisema Wazushi ndio walikuwa wanaeneza hizo habari ili hali hakuwa na sababu ya kupigana na Malawi.
Ingawa kweli Mwalimu alitofautiana na Kamuzu kwa ishu ya SA, hayo ya kupigana ilikuwa ni kazi za Wazushi.
Sasa nawe hapa naona umemuongeza na Machel.
Siasa za ubepari matajiri wanawekeza wanapopata faidaNilipoishi huko 2013, 2014 wizara yao ya elimu iliruhusu wanafunzi wa shule za msingi za vijijini wasome bila kulazimishwa kuvaa sare wala viatu. Zaidi ya nusu ya watoto hao walikuwa wakiwa pekupeku na/au bila sare. Kusingekuwa na ruhusa hiyo watoto wengi wasingesoma.
Sijui iwapo kufika sasa 2018 wazazi wote wa vijijini wanamudu mambo ya sare/viatu kwa watoto wao walio shule?
asante ngoja tuanze kufikiria kutembea hata Malawi.Hakuna visa ya kutafuta kabla kwa mtanzania anayetaka kutembea Malawi. Passport yako inatosha. Visa (ya mwezi moja) hugongwa kwenye passport unapofika Malawi.
Hakukuwa na kitu kama hicho Mkuu...hata huyo Machel alizushiwa tu.Huo uzushi unaousema wewe ndio ukamfikia machel na ndipo aliposema kuwa naenda Zambia nikirudi huko naenda kuongea na Nyerere ili tuichape Malawi halafu tugawane
Nalog off
Nimekuelewa kiongozi,ahsante sana kwa kuyasafisha mazingiraHakukuwa na kitu kama hicho Mkuu...hata huyo Machel alizushiwa tu.
Naungana na wewe,sijawahi muona demu mkali kutoka Malawi,halafu nasikia kuna wamalawi wengi tu mitaa ya kinondoni,mi nilisoma secondary na mmalawi mmoja hivi!Hawa majamaa ni maskini lakini chakushangaza wanamiliki magari ya bei kali, mtanzania hawezi kwenda Malawi bila passport au border pass kila baada ya kilometer chache Kuna polisi check lakin mmalawi anaweza kisafiri mpaka Dar bila kugundulika.
Kwa Malawi wakihisi kama wewe siyo mmalawi nakuongelesha kichewa na usipojbu wanajua wewe ni mzamiaji utajuta kuzaliwa.
Wengi wao wanakuja kufanya shopping kyela kama km 17 from border bila ya kuwa na passport au border pass, kwa Malawi huwezi kutembea km 17 bila kuona police barriers na checking za heavy wait.
Hawa jamaa hawajui kusema nipunguzie bei wao ni kutoa Tu.
Malawi wa viwanda vingi vya sukari kuliko TZ
Wamalawi wengi wanajua kuongea ngeli kuzidi TZ
Ukubwa wa nchi yao ni kama mkoa wa Mbeya + songwe
Wengi wao wanatamani Sana kufika Daslam
Hakuna wanawake wazuri Malawi
Kwa uchawi Wako vifua mbele kuliko TZ
Hakuna ujanja hapo tatizo ni lugha ukilinganisha na wenzetu, Kwa wenzetu aliyemaliza p7 ungeweza kumkabidhi pasport ya malawi akapita lkn kwetu mpaka umtafte aliyemaliza chuo kikuu, wakat mwingine naye anayumbaWanigeria wajanja kinoma. Sisi tupo hapa karibu hatukuona fursa wao wametoka mbali huko wakapiga mishe.
kweli mkuu me niwaona wengi kyela wanasoma kuanzia primary mpaka secondaryNaungana na wewe,sijawahi muona demu mkali kutoka Malawi,halafu nasikia kuna wamalawi wengi tu mitaa ya kinondoni,mi nilisoma secondary na mmalawi mmoja hivi!
Nalog off
Dah zile ndizi za mzuzu ndio zimetokea Mzuzu Malawi(Nyasaland)?Dah Mke Wangu kasoma Malawi ,huwa ananihadithiaga , kuhusu mikoa yao mitatu ..Lilongwe... Mzuzu na Blantyre
Nita ku pmNilishawahi kuwa huko kikazi kwa muda wa mwaka mmoja na nusu. Nilikuwa Blantyre...nikiishi sehemu inaitwa Namiwawa.
Wamalawi ni wakarimu sana. Nilipendelea sana Samaki aina ya chewa na vyakula vyao kwa ujumla.
Ukikutana na mwanamke wa kiMalawi mzuri anakuwa mzuri kweli kweli. Huwa naenda kutembea kila wakati ninapopata nafasi.
Vp elimu yao kwa kumuangalia mkeo, iko poa au kawaida?Dah Mke Wangu kasoma Malawi ,huwa ananihadithiaga , kuhusu mikoa yao mitatu ..Lilongwe... Mzuzu na Blantyre
NdiyoWana mikoa mi3 tu au