Kwaiyo kipindi kile wanasema ziwa Nyasa lakwao walikuwa wanapewa kiburi na EnglandMalawi ni nchi isiyo na bahari iko kusini mwanTanzania. Mpaka 2006 wananchi wa Malawi hawakuhitaji visa kuingia Uingereza. Visa ilianza baada ya Wanigeria wengi kuingia Uingereza kwa passport za Malawi.
Kuna Hospital Lilogwe ambayo ni maalum kwa wataalamu wa kigeni na watalii wanaoishi Malawi. Wafanya kazi wa hospital hii baada ya kufanya kazi kwa miaka miwili wana uwezo wa kuomba kazi moja kwa moja katika wizara ya afya ya Uingereza National Health Services.
hahahahahahIvi hawadaiwi na wachina kweli?
Ninafahamu kuwa Kamuzu Banda alifanya kazi kama daktari Uingereza kabla hajarudi nyumbani kujiunga na harakati za ukombozi. Mengine hakuna mahali yameandikwa ni ‘ hear say’.Nasikia UK ndio walimu hasi Kamuzu Banda eti alikuwa karibu na Malkia wakahisi asije aka mduu? je ni kweli Sky Eclat au ni hadithi tu?
Makaburu waliifuatilia ile chopa iliyombeba alikuwa na document za muhimu walizozihitaji na ndege ilipoanguka waliziwahiNakumbuka samora Machel alisema anaenda Zambia alirudi yeye na Nyerere waichape Malawi halafu wagawane,maskini Machel ndio hakurudi mzima
Nalog off
Usi log off mkuu malizia hiki kisa ni kizuri mnoNakumbuka samora Machel alisema anaenda Zambia alirudi yeye na Nyerere waichape Malawi halafu wagawane,maskini Machel ndio hakurudi mzima
Nalog off
Kama wewe ni apeche alolo kuna boat Matema Beach zinakupeleka Malawinajikuta ghafla kutamani kutembelea nchi hiyo gharama zake zikoje yaani hotel, usafiri, viza kwa kukaa siku tatu ukitokea dar kwa ndege au aina nyingine ya usafiri.
pia je kuna fursa gani zinazoweza kutufaa watu wenye mijaji midogo na ya kati.