Usiyofahamu kuhusu Fly Emirates

Watu watakula wapi Madam?Unashangaa hilo la twiga?
Watu walikuwa wanashonesha sare za Airhostess Singapore na Malaysia.Na mtu wa kuzisubilia anakaa huko miezi3 mpaka zimalize kushoneshwa!Ni mwendo wa ma-perdiem na nights za kujiachia
Kwa kweli kukosa uzalendo ndo kumetufikisha hapa tulipo yani had mataifa mengine hutoona .,..,........ Kabisa yani. Nguo zinaenda kushoneshwa Malaysia badala ya bongo I'll hela ibaki Tanzania kwa washonaji wetu, kiruuuuu kama taifa tuna shida we don't care about our country.
 
Hawana Panga boi? NimeonaPanga boi YETU Ndani utazani ni basi la kwenda KIBOSHO
 
H
mwenyewe angukuwa anasoma hiz comments haki ya nan angeenda kupiga mnada ndege zake akanunue vichwa vya train tu, watanzania burudani sana
hahahaha sasa inabidi Ajenge Reli ya dharura chato
 
Pangaboi letu pacha nalo linachelewa sana barafu kasema hizi ndege zimetengenezwa February 2015 sasa si kitendo tu cha kupiga kick na kuruka???

Hiyo imeletwa inakaa tu hata haipigi mzigo sijui wameleta mganga Wa kuitambikia kwanza?
 
Kila kitu kina umuhimu wake katika kujadili mustakabali wa nchi........Kwa kujifunza ya Fly Emirates tunaona wapo tulipokosea na nini tufanye...
Emirate hawakuanza na ndege, walipogundua mafuta cha kwanza waliwataka waingereza na wamarekani wawape social security services na ndiyo ukaona wata wa UAE wakawa wanapata elimu bure tena nzuri, wakaanza kupata makazi, wasio na uwezo wakapewa social security package,watu wakapewa uhuru wa kuwa watu raia wa nchi za himaya ile.
Sisi tuna nini cha kuwaandaa wananchi wetu ili wajisikie ni raia wan Tanganyika? Mwalimu alijitahidi akatoa ellimu bure, tukasoma, tukalipiwa, tukala tukashiba, tukaenda JK tukarudi kazi unaikuta umeandaliwa na mshahara haukuwa wa siri kila mtu alijua mwenzie anapata kiasi gani hivyo tuliishi lakini hiyo ilikuwa njia ya mpito. Tumefika hapa leo kwa kuendekeza apite tuuu na akipita kule kwingine waswikwe lupango au wanyang'anywe nyenzo ili kieleweke.

Nchi hii siyo ya kwanza kuingia kwehye demokrasia ya vyama vingi ila wote tunapita tu. Baaadoooo sana. Tungekuwa tayari Putin ndiye kiongozi wa wasosharist angekuwa amekubali lakini anakuonyesha kuwa si rahisi msosharist kukubali utawala wa sheria na uhuru wa kujieleza. Adios.
 
Ya kwetu



Wenzetu!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] yaani pangaboi yetu inachekesha sana waifiche kabisa wasiioneshe oneshe [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] watatucheka watu
 
Wa sasa hivi kama kateguliwa miguu au ana matege ya Selgado.
Alibadirishwa kipindi cha Mataka,na uliza aliyebuni huyo twiga mpya alikula shilingi ngapi?Utazimia
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Ndio mkuu, Airbus A380 upande wa Business class juu ndani kupo hivyo. Hiyo ni counter ya Bar iliyopo upande wa Mkiani.
Panga.... ndoroboooo wewe si bora uchukue gazeti ujipeee.


Kupatwa kwa ndege.
 
Huyu mtu hapa mbele na hivi vipangaboi anakuwa anafanyaje?wajuvi wa mambo tuambiane...Kazi ya huyu dada/kaka hapa mbele inakuwa ni nini?

Maana ana vipangaboi mkononi
 
Halafu, badala ya kununua two toys kwanini tusingenunua moja tu ya ukweli??
hahahaha mkuu umenichekesha sana eti two toys!!!!! me nmeshangaa enzi zile anaanza kuingia alikuwa anatupigia story za boeing mara airbus akawa anapiga bei zake roughly!!!! sasa hivi nashangaa pangaboy meeen!!!! af naskia kinapiga makelele hichooo!!!!!
 
KUKUSAIDIA SIKU NINYINGINE USIPASTE MIMBA...NAMBA MOJA.TATU TANO N NDEGE MOJA KWATAARIFAYAKO ANGALIA REG..NO MOJA NA NAMBA TATUNATANO(UMEBADILI DIR)TUZANDEGE

CHA KUONGEZEA USIPASTE UNYOKO TENA NAMBA MBILI HIO NDEGE NII YAKUKODISHA SIO YA ATCL FOR UR INFO..ZILILETWA MBILI NA SAA 5HMVZ ,,MVK...KIUJUMLA NDEGEYA ATC N MOJA TU ..USIPASTE TOKA KWAWATU AGAIN
 
Tena ya kwetu bado imehifadhiwa pale Terminal 1 jeshini ikisubiri wakubwa waione ndiyo ifanye biashara.
Ndege sioo biashara ya Mpesa kaka inaitaji kuwa NA reg kuchekiwa NA tcaa NA mengineyoo msihizi mlivyojaza Mpesa kila sehemu sawa NA biashsra ya ndege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…