QALLI MIZOH
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 2,075
- 699
kabisa...!! tena eti @ the 1st time...? aa wapi!!!!Hahahha nyumbani sikupeleki ngoo
kabisa...!! tena eti @ the 1st time...? aa wapi!!!!Hahahha nyumbani sikupeleki ngoo
hahahaha sikunyingine usirudie, ukipata mrembo usimpeleke kwako, bora uwende nae gestUkweli nilivutiwa na umbo lako ndio maana nikakutongoza.
Nikakupitisha mpaka nyumbani kwangu nikuonyeshe ninapoishi.
Nikakukaribisha mpaka ndani kubainisha ni kweli kwamba niko singo.
Sikushangaa sana uliponipa mzigo siku hiyohiyo ya kwanza.
Kinachonishangaza ni vile ulipoanza kuja mfululizo tena bila ya apointimenti na kuacha nguo zako moja baada ya nyingine.
Ona sasa ni wiki inakatika sasa hutaki kurudi kwenu yaani ukitoka job ni moja kwa moja kiguu na njia mpaka kwangu. Inamaana ndo ushajiozesha hivyo.
Aaah sista hata kama ndoa haifosiwi hivyo.
Nitakuwa mgeni wako Ijumaa hii!!!
Ni kweli lakini sijapangilia hili la yeye kujaishi kwangu
Sishangai username yako inafanania na uchoandika
Heeeee kaka @ mentor hio sleep over umealikwa?
Likewise.
muombe tigo ataondoka mwenyeweeee
Sishangai unachanganya 'mental' na 'mentor'
Btw narudia tena ni ujinga na upuuzi kuja kuandika ulilolifanya kama vile ni ushujaa.
Ni ujinga na upuuzi kumuita mwanamke cheap just bse she made love to u the first day you met. If anything, wewe ndiyo cheap!
Ni ujinga na upuuzi kuanzisha thread kumponda mtu ambaye hayupo...coward behavior. Go face her..mwambie!
Ni ujinga na upuuzi kumpeleka geto kwako demu wa kuzugia.
Ni ujinga na upuuzi kudhani 'mentor' ni sawa na 'mental'
Ni ujinga na upuuzi...
Dunia hii ukingoja ualikwe mbona utakufa na njaa zako??!
Nikweli namtafutia sababu ya kumwondosha lakini hakosei. Mimba si rahisi, ndom at work.
finga inaingiza huko?
Umeniacha mabwepande..!
..huamini kuwa naweza fanya hivyo?
..huamini haya niliyoandika?
..huniamini kabisa?
Teeh!!
Sishangai unachanganya 'mental' na 'mentor'
Btw narudia tena ni ujinga na upuuzi kuja kuandika ulilolifanya kama vile ni ushujaa.
Ni ujinga na upuuzi kumuita mwanamke cheap just bse she made love to u the first day you met. If anything, wewe ndiyo cheap!
Ni ujinga na upuuzi kuanzisha thread kumponda mtu ambaye hayupo...coward behavior. Go face her..mwambie!
Ni ujinga na upuuzi kumpeleka geto kwako demu wa kuzugia.
Ni ujinga na upuuzi kudhani 'mentor' ni sawa na 'mental'
Ni ujinga na upuuzi...
Dunia hii ukingoja ualikwe mbona utakufa na njaa zako??!
Naona finga sio sehemu ya mwili wake hahaaa