Usiwe rahisi kiasi hiki dada

Usiwe rahisi kiasi hiki dada

Ukweli nilivutiwa na umbo lako ndio maana nikakutongoza.

Nikakupitisha mpaka nyumbani kwangu nikuonyeshe ninapoishi.

Nikakukaribisha mpaka ndani kubainisha ni kweli kwamba niko singo.

Sikushangaa sana uliponipa mzigo siku hiyohiyo ya kwanza.

Kinachonishangaza ni vile ulipoanza kuja mfululizo tena bila ya apointimenti na kuacha nguo zako moja baada ya nyingine.

Ona sasa ni wiki inakatika sasa hutaki kurudi kwenu yaani ukitoka job ni moja kwa moja kiguu na njia mpaka kwangu. Inamaana ndo ushajiozesha hivyo.

Aaah sista hata kama ndoa haifosiwi hivyo.
Next week atakuambiwa ana mimba yako ushishangae ahahaaa!Na nyie ndo mkome jamani khaa!Ivi kweli mwanamke umemtongoza day 1 anakupa huo mzogo wake we huogopi?Mi ningekuwa mwanaume nadhani singekuwa na msichana na wahivyo
 
Back
Top Bottom