Usiwe rahisi kiasi hiki dada

Usiwe rahisi kiasi hiki dada

Wanaume (i should call u mvulana) kama wewe ni majanga katika jamii yetu.
Huko ofisini kwako I hope haupo kwenye sehemu ya kufanya maamuzi...maana u suck! ***...
 
Lakini umbo ulilovutiwa nalo si bado lipo we fungia tu kula mambo yako ukimkimbiza utaangaika kutafuta lingine mwishowe utan'goa chizi
 
Umempata wa huku kwetu nini? huku kwetu ndio wapo wengi wa hivo! anaanza kuacha kanga, anakuja tena anaacha pichu, akija tena anaacha mchuchumio anaondoka na vya kimasai (alivibeba ktk mkoba) siku nyingine anaacha sidiria, akija tena anaacha kanga upande wa pili (keshakamilisha doti 1)!

Mvumilie tu ndg yangu, wee ulimbip, yeye anapiga kabisa, hupokei anakutumia salio elfu 10!
 
hapo ndo huwa siwaelewi wanaume unakuta kashamshoka dada wa watu lakini kugegeda haachi ni nini? hebu jifanye kama humuoni hata akikugusa kila siku mtafutie sababu mara nimechoka, sijisikii na unalala na pajama uone kama hata ondoka, sio kila sku uko kifuani mwake unategema mwenzio aeleweje?

Mdada akipenda kitu hata utumie busara vipi kumkwepa anakuja hasa ukizingatia wanaume huwa hawamkatai mwanamke kwa maneno makali maana mwanamke hashushuliwi maana unaweza kusababisha wote waliopo jirani wakaona kama unajishaua (huwa wanazugazuga lakini bidada anajileta mwisho wa siku ndio inaangukia pale "sumaku siku zote hunasa vitu vyenye asili ya chuma" na akipigwa chini anaanza kumlalamikia). Ila huyu nae kazidi kumpeleka nyumbani ampeleke yeye, na nguo moja baada ya nyingine alikuwa anaacha anamwangalie sasa sijui alikuwa anategemea nini sasa, kilichobaki aoe sasa.
 
sipendi kulala kwa mwanaume
AJE ALALE KWANGU NA ASISAHAU ATA KIPANDE CHA KUCHA
 
Wewe nani kakwambia kwenye mpira watu wanafunga goli dk ya kwanza ulishaona refa anakataa goal?sembuse demu kumpata siku hiyo hiyo.Kwa taarifa wanaume wote kwanza tunawaza kugegeda mengine badaae
 
umemtongoza, umempeleka kwako,umemvua nguo na kuchezea kipochi manyoya chake, now hafai sio??? player mkubwa wewe!! Tna natamani akugande na utamuoa huyo! kazi kucheza na hisia za watu tu!! Usipende kucheza na moyo wa mtu cz hujui kapitia magumu yapi kwenye mahusiano mpk kakupata wewe!! JE INGELIKUA NI WEWE UNGEJISKIAJE???
 
Back
Top Bottom