Usiwe mzembe siku ukiachwa utalia sana

Usiwe mzembe siku ukiachwa utalia sana

Ukweli mtupu...alafu nikwambie kitu..ata wanawake wanakuwa na jamaa wanamuweka standby yaani likitokea vurugu ama wameachana jamaa anapewa papuchi ajilie.

Tena wazuri kwa hili ni mademu wa chuo yaani utashangaa tuu unatunukiwa papuchi ndio maana mie mawindo ni chuo tuu
Mazali Kama haya nimekutana nayo Mara nyingi , zali lililonitokea juzi juzi ni kwamba anasema yeye mke wa mtu , lakini sikumpa dudu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itabidi nianze sasa maana nilikua nyuma kwenye hili nilikua nikiwa na mtu ni mmoja huyo huyo siku akinibwaga sina backup ni kilio tu! Sasa hapana kulia tena 😀
Wachana na huo ushauri kabisa financial services. Changamoto zipo kila kona lakini option ya kuzishindwa haijawahi kuwa sahihi
 
Mmmh unamlilia mwanamke au unajutia uwekezaji uliofanya kwake

Mimi binafsi kama mwanamke nikiwa nimewekeza kwake hapo roho ndio itaniuma

Lakini kama alikua yupo kwa ajili ya game tu, bhasi aende zake
Unawekeza kwa mwanamke ukitarajia kupata faida gani? Unawekeza au unahonga!
 
Huo ni ugonjwa wa akili, inaelekea matatizo yako ni makubwa zaidi tu ya kuachwa na Mwanamke, wewe unaogopa hata tu kuachwa na rafiki, mgeni au hata Wazazi, ningekushauri utafute wataalamu wakupatie therapy, kama uko tayari unaweza niuliza labda naweza kuusaidia pa kuanzia.

Binadamu mtu mzima hakimbii tatizo kwa bali analikabili kama lilivyo ndiyo ukubwa huo, wewe fall in love tu usiogope na ukiachwa kabiliana na hali utaibukia upande wa pili ukiwa imara zaidi badala ya kukimbia, utakimbia mpaka lini ? Hapana nitafute, ...
acha kuhubiri ujinga
 
Unaanzaje kulia kisa mwanamke wakati wamejaa tele. Siku nikilia kisa mwanamke ndio nitajua naenda kufa
 
Unaanzaje kulia kisa mwanamke wakati wamejaa tele. Siku nikilia kisa mwanamke ndio nitajua naenda kufa
 
Back
Top Bottom