Usiwe mzembe siku ukiachwa utalia sana

Usiwe mzembe siku ukiachwa utalia sana

Wanaume wenzangu huu ni ushauri wa bure lkn sio kwa wale walioa Tayari!
Ni hizi unapokuwa kwenye relationship hakikisha kuna ka demu fulani unaendelea kukajali hata vocha za hapa na pale unakapa ushirikiano kanapokuwa na shida na endelea tu kuchati nae kwa namna yeyote ile!
Pia jifanye haupo happy kivile na mahusiano yako ili siku ukiachwa tu unakuwa na sub moja ya haraka sana kabla hujaanza kujiliza liza kwa X na kukutokea kama yale yaliomkuta jamaa wa Hamida!
Wanawake wanatumia sana mbinu kama hii siku unamuacha jamaa fasta anapewa usajili!
Sasa wewe thubutu kujifanya huna mawasiliano na demu yeyote kwa vile upo kwenye mahusiano utalia kilio cha mbwa koko
Ukweli mtupu...alafu nikwambie kitu..ata wanawake wanakuwa na jamaa wanamuweka standby yaani likitokea vurugu ama wameachana jamaa anapewa papuchi ajilie.

Tena wazuri kwa hili ni mademu wa chuo yaani utashangaa tuu unatunukiwa papuchi ndio maana mie mawindo ni chuo tuu
 
"ONEitis is paralysis. You cease to mature, you cease to move, you cease to be you. There is no ONE. This is the soulmate myth. There are some good Ones and some bad Ones, but there is no ONE." - Rational Male
 
Huo ni ugonjwa wa akili, inaelekea matatizo yako ni makubwa zaidi tu ya kuachwa na Mwanamke, wewe unaogopa hata tu kuachwa na rafiki, mgeni au hata Wazazi, ningekushauri utafute wataalamu wakupatie therapy, kama uko tayari unaweza niuliza labda naweza kuusaidia pa kuanzia.

Binadamu mtu mzima hakimbii tatizo kwa bali analikabili kama lilivyo ndiyo ukubwa huo, wewe fall in love tu usiogope na ukiachwa kabiliana na hali utaibukia upande wa pili ukiwa imara zaidi badala ya kukimbia, utakimbia mpaka lini ? Hapana nitafute, ...

Siku nyingine ukiamka na hangover kunywa supu kwanza bila kusahau ndimu kwa mbali
 
Ukweli mtupu...alafu nikwambie kitu..ata wanawake wanakuwa na jamaa wanamuweka standby yaani likitokea vurugu ama wameachana jamaa anapewa papuchi ajilie.

Tena wazuri kwa hili ni mademu wa chuo yaani utashangaa tuu unatunukiwa papuchi ndio maana mie mawindo ni chuo tuu

Magoli ya off side [emoji28]
 
Wanaume wenzangu huu ni ushauri wa bure lkn sio kwa wale walioa Tayari!
Ni hizi unapokuwa kwenye relationship hakikisha kuna ka demu fulani unaendelea kukajali hata vocha za hapa na pale unakapa ushirikiano kanapokuwa na shida na endelea tu kuchati nae kwa namna yeyote ile!
Pia jifanye haupo happy kivile na mahusiano yako ili siku ukiachwa tu unakuwa na sub moja ya haraka sana kabla hujaanza kujiliza liza kwa X na kukutokea kama yale yaliomkuta jamaa wa Hamida!
Wanawake wanatumia sana mbinu kama hii siku unamuacha jamaa fasta anapewa usajili!
Sasa wewe thubutu kujifanya huna mawasiliano na demu yeyote kwa vile upo kwenye mahusiano utalia kilio cha mbwa koko

Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom