fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,378
- 11,543
Kwani hii nchi ni ya hawa mafisi wanini watu wana mvunjia heshima mzee wa watu mbona yeye hajatukana mtu alijitoa kwenye uwaziri.mbona ufisadi uliendelea kwa speed na hari.mpya kueshimiana ni jambo jema sana nitashangaa sana kama kama watanzania hatutawashikisha adabu hawa mafisi wanao taka kuona nchi kama ya kwao wenyewe !!!