Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,441
- 38,123
- Thread starter
- #21
Vitoto vyake havina sifa ya kuchacharika bila kubebwa vimezoea kulishwa kama makinda ya ndege.Kwanza sijui kama hata vina sifa ya kupiga kura Dr Kigwangallah kaliweka hili wazi Bashe yafaa atafute makaratasi kwanza.
Hahaha, mkuu vitoto vyake akina basheeee ndo vinaenda kutafuta chakula linaletewa tu, halina afya ya kwenda kutafuta tena,