kampelewele
JF-Expert Member
- Oct 13, 2014
- 2,998
- 2,414
Ni kosa kubwa kwa kiongozi kufanya utani!!!!Neno la kiongozi ni sera hivyo kiongozi huwa makini katika kutafakari neno aliandikalo na kulitoa mdomoni. Hii ni tatizo la kuwa na viongozi ambao si wakomavu. Utaniwia radhi kwa kutamka ukweli.Mkuu kwenye hii post kunamawasiliano gani ya muhimu zaidi ya utani wa nape.