masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,570
- 20,148
Duh,usitoe kila kitu
Hii ni ya wana ndoa, vipi kuhusu waasherati?1 Kor 7
Maagizo kuhusu Ndoa
1Basi kwa habari ya mambo yale mliyoandika, ni heri mwanamume asimguse mwanamke. 2Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe.
3Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake.
4Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe.
5Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda....
1 Kor 7

mshana ulishawah pewa yote wewe???1 Kor 7

Upendo ushida yote Mkuu,labda umpendi kwa ulichosema 100% sawa,Hii ni kwa wote lakini haswa kwa wanawake usijimalize sana...akiamua kufanya yake anafanya tu
haijalishi level ya mahusiano yenu hata mume na mke
Mara nyingi uaminifu wa mtu umetenganishwa na vitu akiamua kuwa mwamifu kwako atakua tu
Jifunze tu uchoyo ndugu yangu
usitoe kila kitu
Mfano kitu gani sasa aninyime, na asiponipa mm anaenda kumpa nani🤔Hii ni kwa wote lakini haswa kwa wanawake usijimalize sana...akiamua kufanya yake anafanya tu
haijalishi level ya mahusiano yenu hata mume na mke
Mara nyingi uaminifu wa mtu umetenganishwa na vitu akiamua kuwa mwamifu kwako atakua tu
Jifunze tu uchoyo ndugu yangu
usitoe kila kitu
Sio malaya…. Sema ni ubinafsi…. Watu wabinafsi TUNAendeshwa na logic. Na ili uwe mbinafsi ni lazima uwe unajipenda sana, na ili ujipende ni lazima uwe umelelewa na watu wenye upendo.Mapenzi ni sayari nyingine kabisaa .
Ni rahisi kusema hivi lakini when it comes mtu amependa Huwa Yuko Tayari kufanya unthinkable things
Labda awe Malaya , Maana mtu akisha kuwa Malaya Huwa haendeshwi sana na hisia za mahusiano, Malaya Huwaga wanatumia logic zaidi kwenye mahusiano kuliko kuwa emotional
Mimi ba mjengo wangu naona anatoa vyote kwangu, hakuna ambacho nimekitaka nikakosa, acha tuendelee kuliwazana na mapenzi yetu ya uzeeni!
Mwanaume usipokua na D mbili, hapa huwezi elewa Mwamba 777usitoe kila kitu