Gazaniga
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 1,051
- 360
Vijana wa kiume nawaasa "usithubutu, neve ever kusomesha girlfriend eti kisa unatarajia utakuja kumuoa, acha basi wewe.
Wasichana wengi ni ma-drama queen,atakunyenyekea ili umsomeshe na anaweza akakubali kuolewa na wewe sio kwamba kakupenda ila tu anataka kulipa fadhila,
vurugu huwa inaanza akishapata kazi nzuri ya kumuwezesha kujitegemea utajuta.Jamaa zangu watatu sasa hivi wanajuta!Somesha mke na sio girlfriend.
Unataka chukua hutaki acha
Hii ni kweli kabisa na nina ushahidi,bora umsomeshe wakati umeshamuoa.