Usithubutu kusomesha rafiki wa kike (Mpenzi)

Usithubutu kusomesha rafiki wa kike (Mpenzi)

Mkuu ingawa bet na kamari nyinginezo zinafirisi, lakini kuna watu pia wanapata.kwahiyo haishangazi wachache kama wewe kupatikana kwenye kundi kubwa. Hata hivyo kumsomesha mwanamke ni kamari mbaya
Hakika wanena vyema mkuu

Huyo ni mmoja kwenye wachache
 
Mbona sie tumesomeshwa na wanaume zetu hadi Leo miakana miaka tunaheshimu Kile tulichofanyiwa jamani maana mie alinikuta darasa la 7 akaniendeleza kwa QT badae nikienda college asaivi nimmnakazi na mwakani anampango wa kunipeleka zaidi.kielimu

Mumeo ni mvumilivu, ninampa credit, nina amini tu hivyo.
 
Somesha tu, wenzako tunawafungulia hadi biashara za mamilioni. Unajua hawa wenzetu wana matatizo yao, kwahiyo lazima ucheze kwa taadhari. Certificate mtoto, Bachelor Mtoto, Field mtoto, post graduate Mtoto, sasa unaogopa nini hapo?
 
Mbona sie tumesomeshwa na wanaume zetu hadi Leo miakana miaka tunaheshimu Kile tulichofanyiwa jamani maana mie alinikuta darasa la 7 akaniendeleza kwa QT badae nikienda college asaivi nimmnakazi na mwakani anampango wa kunipeleka zaidi.kielimu
Hujui baadhi ya watu siku hizi wanaishi kwa nadharia na tafiti za online
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu

ngoja ninyoke kwenye maada moja kwa moja
Hakuna kitu kibaya kama kusomesha mchumba usifanye kabisa hiki kitu ndugu yangu, acha kabisa utakuja kulia na kusaga meno

Bora usomeshe hata jiran yako lakin siyo mchumba utajuta mkuu usijaribu ni hatar zaid ya kumeza bomu

Watu wengi washasomesha wachumba wao na baada ya wachumba wao kupata kaz huwaacha kwa kejel na matus juu

Hakuna hata mmoja ambaye asha somesha mchumba na akabak salama, mwisho wa siku hujutia na kulia kama mbwa

Wengi wanaotendwa na wachumba waliowasomesha HUJIUA NA KUWA WALEVI WA KUTUPWA

usijaribu hicho kitu

Kusomesha mchumba ni sawa na kunyea kwenye fugo

NANYUPU

LIYANDA LA MWANZA

LONDON BABY

Funga ndoa kwanza ndipo uanze kumsomesha ni kweli hili limekua kilio kwa wengi
 
Vijana wa kiume nawaasa "usithubutu, neve ever kusomesha girlfriend eti kisa unatarajia utakuja kumuoa, acha basi wewe.

Wasichana wengi ni ma-drama queen,atakunyenyekea ili umsomeshe na anaweza akakubali kuolewa na wewe sio kwamba kakupenda ila tu anataka kulipa fadhila,

vurugu huwa inaanza akishapata kazi nzuri ya kumuwezesha kujitegemea utajuta.Jamaa zangu watatu sasa hivi wanajuta!Somesha mke na sio girlfriend.

Unataka chukua hutaki acha
Kuna mwenzenu juz kajinyonga huku
 
Mke akipata kazi nzuri utabaki salama? Nani kakwambia?
 
Nimesomesha mpenzi wangu toka Advance mpaka Shahada yake ya awali...... alipo pata kazi ikawa zamu yangu kusoma.

Kafanya makubwa sana katika mahusiano yetu, namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa huyu Mwanamke.
 
Back
Top Bottom