Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,537
- 18,741
AiseeMbona sie tumesomeshwa na wanaume zetu hadi Leo miakana miaka tunaheshimu Kile tulichofanyiwa jamani maana mie alinikuta darasa la 7 akaniendeleza kwa QT badae nikienda college asaivi nimmnakazi na mwakani anampango wa kunipeleka zaidi.kielimu