bandu bandu
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 2,747
- 874
Mpwa ni kweli usemayo ila hana mdhamana hata kidogo mm jamaa wawili job wamewasomesha mbona mmoja nusura tumzike kazi yake ni kunywa sumu tu mara mbili kapona anabahati kua Israel mtoa roho hayupo pamoja nae mwingine kaenda kumtembelea alie msomesha akiwa kituo chake cha kazi maana aliajiriwa. Kakuta kidume kinahemea ndan alie mlipia na kusababisha apate kazi anagonga mlango kidume kinakohoa ndani khoo khoo jamaa nae nusura afe mawazo kibao gari likatafuta pori Mungu mkubwa kapona
Hahaha kweli mbunyee ni noma hapana chezea mbunyeee weka mbali na watoto