Usithubutu kusomesha rafiki wa kike (Mpenzi)

Usithubutu kusomesha rafiki wa kike (Mpenzi)

mbona wao hawatusomeshi sisi wanapotupenda?? kumsomesha girlfriend ni sawa na kupanda karanga kwny udongo mfinyazi usitarajie utavuna. ukitaka kumsomesha girlfriend ww mpeleke "chuo cha biblia" huo ushauri wng "pastor"
 
Hayo yamewakuta wengi. Nataka pia niongeze kwamba, usithubutu kununua vitu vya kudumu mfano gauni, viatu, nk. eti apendeze. Mpeleke hotelini, bar, na aina nyingine za vyakula na vinywaji. Hivi havina kumbukumbu, akishakwenda chooni ndo basi.

Kweli wote sita niliowafahamu wamesomesha GF...Nimeona wamebaki na manyoa tu...wadada wameishilia kuolewa na watu wengine....
Ukwel utabaki kuwa ukweli tu...Kusomesha siyo kaz ndogo hata kidogo .....mtu unafanya vyote for love ili mwenzio naye awe na elimu at Least ndani muwe na lugha moja ya kuelewana..Lakini mwisho wa siku akimaliza shule na kupata kaz nzuri ujipange kulizwa...Yaan kama umeamua kusomesha somesha bt jipange tu kwa lolote muda wowote....
Iv nyie wanaume hamjui siku hizi wayu hawana utu??
 
Tatizo la hao wanaosomesha wachumba/wapenzi hujisahau baada ya kutoa fadhila. Wanabweteka wakijua as long wamesomesha washamaliza kazi hawafanyi chochote cha ziada kuhakikisha penzi linadumu! Lakini pia wapenzi kuachana imekuwa kitu cha kawaida,hivyo akikuacha tambua kuwa sio kwasababu ashapata elimu bali hata usingemsomesha angeweza kukuacha
Great thinker katika ubora wake,you have seen it in a new perspective!
 
Vijana wa kiume nawaasa "usithubutu, neve ever kusomesha girlfriend eti kisa unatarajia utakuja kumuoa, acha basi wewe.

Wasichana wengi ni ma-drama queen,atakunyenyekea ili umsomeshe na anaweza akakubali kuolewa na wewe sio kwamba kakupenda ila tu anataka kulipa fadhila,

vurugu huwa inaanza akishapata kazi nzuri ya kumuwezesha kujitegemea utajuta.Jamaa zangu watatu sasa hivi wanajuta!Somesha mke na sio girlfriend.

Unataka chukua hutaki acha

hata mke usisomeshe jamani waliosoma hawafai kuoa jaman chukua fursa standard seven 'E' maana D wooote walienda form one
 
Mpwa ni kweli usemayo ila hana mdhamana hata kidogo mm jamaa wawili job wamewasomesha mbona mmoja nusura tumzike kazi yake ni kunywa sumu tu mara mbili kapona anabahati kua Israel mtoa roho hayupo pamoja nae mwingine kaenda kumtembelea alie msomesha akiwa kituo chake cha kazi maana aliajiriwa. Kakuta kidume kinahemea ndan alie mlipia na kusababisha apate kazi anagonga mlango kidume kinakohoa ndani khoo khoo jamaa nae nusura afe mawazo kibao gari likatafuta pori Mungu mkubwa kapona

huyo mwanamke nipe namba yake nitamlipia hela ya masters kama ofa ni jasiri sana na anafaa kuwa mgombea uraias 2015 octoba
 
Vijana wa kiume nawaasa "usithubutu, neve ever kusomesha girlfriend eti kisa unatarajia utakuja kumuoa, acha basi wewe.

Wasichana wengi ni ma-drama queen,atakunyenyekea ili umsomeshe na anaweza akakubali kuolewa na wewe sio kwamba kakupenda ila tu anataka kulipa fadhila,

vurugu huwa inaanza akishapata kazi nzuri ya kumuwezesha kujitegemea utajuta.Jamaa zangu watatu sasa hivi wanajuta!Somesha mke na sio girlfriend.

Unataka chukua hutaki acha

Ni ukweli usiopingika
 
Wengi wao wabinafsi utasikia nataka nijitegemeee, mara nataka niwe na uwezo wa kufanya mambo yangu. Hapo pote anatumia hela isiyo yake ila anataka hiyo hela imuwezeshe kufanya mambo yake.
Mara oooh sitaki mtegemea mwanadamu mwenzangu, ukishasikia hayo andaa maumivu. Mara nyingi tuangalie na familia wanazotoka
 
Hii ni kweli niliambiwa hvyo miezi kama miwili tangia niwe nae nikapiga na makazi nikahamishia kwa mwingine wanawake wasomi siyo wanakuwa na jeuri na ukijifanya mjanja utatunza watoto wasio wako!
 
Mimi ndiyo maana girl friend wangu baada ya kumlipia ada nilikuwa kila nikikutana naye lazima nikeshe naye na nilikuwa nikimpa siyo chini ya vitatu yaani mpaka tumeachana roho yangu kwatu yaani tumeachana kiroho safi na sasa ameolewa na nimemchangia mchango wa send off na mpaka kesho nikitaka mchezo ananipa kiroho safi

Nmekupata bandua bandua, mzee wa kuwekeza katika mbunye
 
Wengi wao wabinafsi utasikia nataka nijitegemeee, mara nataka niwe na uwezo wa kufanya mambo yangu. Hapo pote anatumia hela isiyo yake ila anataka hiyo hela imuwezeshe kufanya mambo yake.
Mara oooh sitaki mtegemea mwanadamu mwenzangu, ukishasikia hayo andaa maumivu. Mara nyingi tuangalie na familia wanazotoka

Wanawake ni viumbe hatari sana kwa kweli, never trust them 100%!
 
mbona wao hawatusomeshi sisi wanapotupenda?? kumsomesha girlfriend ni sawa na kupanda karanga kwny udongo mfinyazi usitarajie utavuna. ukitaka kumsomesha girlfriend ww mpeleke "chuo cha biblia" huo ushauri wng "pastor"

Teh teh teh punguza jazba mkuu, tatizo ni salio likiwepo somesha tu utabarikiwa
 
Naunga mkono hoja...huwa nasema acha maskini apende maskini mwenzake,usimsaidie maskini kwa makubaliano yakupata return hata kama wewe niwa kwanza,wakipata exposure huwa wanasahau wema wote na makubaliano yenu..
 
hivi unaanzaje kusomesha girlfriend?ina mana ndugu zako wote wameisha kusomesha huko kwenye ukoo wenu..
kwa akili hiyo wacha tu muendelee kuchapiwa.
 
Hadithi za mitaani na za kimalezi zimefanya mahusiani kuwa magumu sana .......!!
 
Kwanini umsomeshe??? Je wewe ni mzazi wake au ni ndugu yake wa damu???? Hapo kama sio ndugu wa damu na sio NGO ya watoto wenye shida achana nayo kabisa yani hao viumbe ni stress tupu wakuu
 
teh teh
nacheka ila sio mazuri

wengi wanaosomesha means umri umeenda kidogo, bibie akishasoma sasa kapata kazi cjui bandari huko, au pengine popote si anakutana na kijana mwenzie elimu zinaendana, ahaaa kupigwa chini lazima.

Ukiuliza unaambiwa mzee wangu nae anasumbua, mara ooh yule babu si ajifie tu nile bata yapo yanatokea na tunaona
 
mi nataka kusomesha
 
Back
Top Bottom