HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 72,939
- 102,696
mimi nina mdada yuko chuo. huja likizozote kwangu na kwao hunifahamu. tuna 4yrs ktk mapenzi. na tuna mpango wa kuja oana. ila nilisha mtangazia kuwa kila mtu asomeshwe kwao. sisi tukutane kimaisha.ila humpa poketi money kidogo. ila mapenzi yamepungua .anadai nimgalimie kila kitu.nimegoma kuwa sijamuoa. ata cm kapunguza.so ni darili mbaya. nangoja akija akija tu namjulisha mimi mapenzi siwezi.
Huna sababu ya kumsubiri hadi aje.
Hawa watu wamegeuka kuwa wafanyabiashara wanatumia mapenzi kutimiza vitu wanavyotaka fanya. Usipompa ananuna kama chatu au mbwa aliegongwa barabarani