Usithubutu kuoa mwanamke wa hivi


KICHWA CHINI MIGUU JUU UNAENDESHA GARI.
Ulio andika hayafanani na topic, sisi tunaongelea mtoto kucopy tabia ya wazazi.
Hatuongelei elim ya mtu, au matendo ya mtu na uwezaji wake wa kufanya kazi.

Na vile vile kuna tofauti ya mlevi na mnywaji, we vipi mwenzetu?

Sikubaliani na wewe docta mlevi anaweza kufanya kazi vizuri.
Kuna docta alikuwa analewa halafu kufanya operation na kuua wagonjwa, mwisho raia wakilalamika na mwiso akasimamshwa kazi. Lakini docta mwenyewe aliona anafanya kazi nzuri.


Nilikua na mwalim mlevi, alikuwa hafundishi akingia darasani, wanafunzi wakifeli somo lake, ila yeye mwenyewe akisema akilewa ndio anafundisha vizuri, mwisho akasimamishwa kazi.


Wewe ni punguani, urusi ni nchi ilio corrupt, wamepoteza muelekeo kila wanavofanya sio sahihi, ndio maana hamna amani.

uzuri ni kwamba sio watanzania wote wanarudi home na huwo ujinga wa kucopy vitu vya kujiaribia na kuaribia wengine.
Na kuna docs za ulaya niliona madocta wanao tumia madawa ya kulevya, nini pombe.

copy mazuri hachana na ya kiaribifu, by somoe
 
Mkosoe bila kumdhalilisha
yeye alivyodhalilisha makabila ya watu ni sawa alivyofanya si ndiyo, akitaka heshimiwa na yeye ajiheshimu, mshenzi mkubwa huyo. mimi ni msukuma tho hajataja kabila langu.:heh:
 
kama vile nyie ni Mungu mchague na kuwa discriminate hao watu waliokuwa katika mazingira hayo. tena nyie mnaoropoka hivyo ndo mnaenda lowa kwenye mapenzi ya hao watu mnawadadavua hapa. shame on u.:disapointed::shock:
 
this is so disgusting and f**kng disappointing, how can a man say something like this without knowing that GOD is the planner of who you will marry, kama wewe mtoa mada bado hujaoa jua u have to kumuomba sana Mungu wako, and if you are married already keep on posting your stupid posts:smash: about who to/not to marry.
 
Si lazima mtoto aliyekulia kwenye mazingira uliyoyaeleza mtoa mada awe na tabia kama za watu waliomlea. Ni fikra zako tu,wapo waliolelewa na mama tu na bado wamekua wake wazuri,wapo wanaotoka familia za kimaskini lakini hawawainamishi waume zao. Kama wewe ni mwanaume umeshaoa au haujaoa,ningependa kuja kuona utakayemuoa/uliyemuoa amekulia kwenye mazingira matakatifu kiasi gani.
 
jaman kunatabia yakurithi na tabia ya kujifunza(adopt).jamaa yupo sahihi kiasi chake,ila kunamambo mengne yupo wrong!
 
Hivu ukioa tajiri ndo unamaliza shida zako zote acha ushamba unaweza ukaoa mwanamke maskini lakini bado maisha yakawa mazuri cha msingi kumuomba mungu akupe mke mwema
 

Hazikutoshi, kwenye mijadala kama hii matusi ya nini? au wewe ni ccm nini?
 
Hivu ukioa tajiri ndo unamaliza shida zako zote acha ushamba unaweza ukaoa mwanamke maskini lakini bado maisha yakawa mazuri cha msingi kumuomba mungu akupe mke mwema

Well, umenena. Kuna tunaoamini mawazo na kuna wanaoamini vitu vya kuonekana.
 
kwa hiyo wezi wote nyumbani kwao ni masikini?
 
Hapa hamana logic, msingi wa ndoa ni imani, kwa maana uwe mkristo au muislamu aliye hai. Kumbuka kuwa udini ulishakatazwa na viongozi wetu na c swala la kuinvolve linapokuja suala la mahusiano. Watu wanadiscus uchawi based on what factor? maana hata mlokole akisema jambo kwa hasira likatoke basi wanasema ni mchawi!! Achane hizo za kuendekeza ubaguzi, waliofiwa na wazazi wakiwa wadogo c kwa mapenzi yao bali ya mwenyezi mungu.
 
Mmmh ndo maana Mungu sio athumani... ingekuwa hivyo wengi wasingeolewa...
 
Swala la ndoa ninaliamini katika misingi mikuu miwili;
1. Mke/mume bora hutoka kwa Mungu
Hivyo sisi binadamu tunatekeleza yale yaliyopangwa na Mungu

2. Mfahamu mume/mke wako vizuri kabla ya ndoa
Ni swala la muhimu kumfahamu mume/mke wako vizuri kabla ya kufikia maamuzi ya kuishi na mtu wako uliye nae katika mahusiano hayo.
 

haahhahaaaaaa.teh teh tehh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…