mwanafyale
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 1,641
- 539
Mkuu, kama nyumbani kwako ulikuwa unakula mboga moja, ukioa mnyakyusa utakula hata mboga nne kwenye mlo mmoja. Nawafagilia sana dada zangumhhhh vipi wachaga na wakinga kwenye utafutaji naona wapo juu zaidi ya mnyakyusa
Kwa bahati ikatokea umepata mchumba/mke wa kinyakyusa. Usifikirie kumuacha maana ni watu wanajibidisha kutafuta pesa, pia kitandani wapo vizuri. Kasoro wana sura ngumu sana.
Wanyakyusa baadhi wana mishepu ya kuvuta tela (Wezere) sema sura ngumu mno
Kwa bahati ikatokea umepata mchumba/mke wa kinyakyusa. Usifikirie kumuacha maana ni watu wanajibidisha kutafuta pesa, pia kitandani wapo vizuri. Kasoro wana sura ngumu sana.
Leo nimejua kumbe MankaM ni shemeji? Ugonile shemejiDaudi1 wewe ni mnyakyusa? mma bhagwitu jhobha kanunu
Maisha ya sikuhizi yako tofauti na zamani,tabia za binadamu toka kabila moja hadi lingine haziko tofauti sana.Inategemea na mtu mwenyewe.Ila nawapa big up wanyakyusa
]
kwamaisha unayoishi ya ndoto za mchana huwez kuishi na mnyakyusa..... Wale hawataki ubabaishaji kama ulivyo ww.... Na akishajua ni mwanaum suruali kama ulivyo ww anaweza kukuzaba vibao kabisa...... Wale wanataka mtu anayejitambua na sio anayeishi kwa ndoto za kuwa na maisha mazur wakat kaz yake ni kula kulala na hata uwezo wa kupata elfkumi huna kama ww
dharau tunazo kabisaa tena mimi mmoja wapo na kazi tunafanya vizuri ndoa tunavunja kama wewe mwanaume suruali mbona utaisoma lakini kuna aina mbili za wanyakyusya wa kyela na wa tukuyu wa kyela ndio tunaongoza kwa dharau wa tukuyu wapole sana halafu pia tunapenda sana shule tunaweza tukawa tupo top 3 kwa makabila yote.ila wanyakyusa wakarimu sana sana sana.
Me am not marry mnyakyusa. my wife from njombe very sweet beutiful wife. small small not fat not slender like a stick. very intelligent.
Kwa bahati ikatokea umepata mchumba/mke wa kinyakyusa. Usifikirie kumuacha maana ni watu wanajibidisha kutafuta pesa, pia kitandani wapo vizuri. Kasoro wana sura ngumu sana.
Ahahahahaaaaaa......balinamatingo fijo abatuta nnkamu
Nitakughubhita wewe!