Usithubutu kukopa pesa Platinum au Bayport matapeli hawa

Usithubutu kukopa pesa Platinum au Bayport matapeli hawa

devinyo1987

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
266
Reaction score
372
Ndugu wanaJF hizi kampuni za kukopesha fedha zina usumbufu sana riba yao kubwa kudai loan balance wasumbufu, ukitaka kufuta deni hawakubali.

Ndugu wanaJF nawashauri acheni kukopa kwa hawa majamaa ni matapeli sana kuwa makini
 
Hii nchi Kila kitu ujanja ujanja na ukanjanja tu kuanzia uongozi ngazi ya chini Hadi juu, makampuni, wakulima.

Wafanya biashara,elimu nk.

Yaani bongo hatupogi seriously na mambo tunaenda kibishi bishi Kama gari bovu!

Tatizo ni pale wamiliki wa hizo ishu ni wanasiasa na vigogo Fulani kwahiyo hakuna wa kumfunga paka kengele

Shame!shame!shame!
 
Ndugu wana jf hiz kampuni za kukopesha fedha zina usumbufu sana ..riba yao kubwa ..kudai loan balance wasumbufu ..ukitaka kufuta deni hawakubali...
Ndugu wana jf nawashauri acheni kukopa kwa hawa majamaa ni matapeli sana ...kuwa makini
Umechelewa sana kuwafahamu.
 
Back
Top Bottom