Usithubutu hata kidogo kumnyima mwenzi wako tunda

Usithubutu hata kidogo kumnyima mwenzi wako tunda

Habari!...

Kuna wanaume au wanawake wengi wakigombana tu na wake au waume zao huwa wanatabia ya kunyimana tunda.

Unapomnyima mwenzi wako tunda unasababisha madhara yafuatayo;
1. Kutafuta mchepuko

2. Kuyumba kiuchumi ndani ya familia. Kwasababu mara nyingi atatumia kiasi cha pesa kwa ajili ya mchepuko badala ya familia.

3. Madhara ya kisaikolojia kama msongo wa mawazo.

4. Ugomvi usioisha ndani ya familia. Hasa mmoja wenu anapokutana na mafundi wazuri wa nje ya ndoa.

Tafadhali wanajamvi unapogombana na mwenzi wako USISUSE KULA TUNDA.

"TUNDA NI TIBA MUHIMU SANA"
well said. unaanzaje kumnyima mwenzako kwa mfano.
 
Mara nyingi hutumia maneno ya mfano ulimnyima kumnunulia dera basi nae usiku anakwambia mi sikupi hadi uninunulie dera kwa kuwa umeshikika unataka tunda ndipo unachanganyikiwa ama tunda ama dera
Kumbe kuna watu wanalipia mbunye kwa wake zao siyo?
 
Habari!...

Kuna wanaume au wanawake wengi wakigombana tu na wake au waume zao huwa wanatabia ya kunyimana tunda.

Unapomnyima mwenzi wako tunda unasababisha madhara yafuatayo;
1. Kutafuta mchepuko

2. Kuyumba kiuchumi ndani ya familia. Kwasababu mara nyingi atatumia kiasi cha pesa kwa ajili ya mchepuko badala ya familia.

3. Madhara ya kisaikolojia kama msongo wa mawazo.

4. Ugomvi usioisha ndani ya familia. Hasa mmoja wenu anapokutana na mafundi wazuri wa nje ya ndoa.

Tafadhali wanajamvi unapogombana na mwenzi wako USISUSE KULA TUNDA.

"TUNDA NI TIBA MUHIMU SANA"
Mwanaume ni mwanaume, hata ukimpa atembee nayo, hayo madhara hayaepukiki.
Mimi ntamake sure nna play my part as a wife bt kutoka nje wanaume ipo kwenye damu zenu so msitafute excuse za kujustify uovu wenu
 
Mkuu Emmanuel, tunda ni tiba nzuri sana ya kumaliza migogoro. Unavyozidi kunyimwa ndivyo ambayo mgogoro unazidi kuongezeka.
Ni Kweli Mkuu, Lakini Ni Lazima Mgogoro Uanze Kutatuliwa Kwa Maongezi Kwanza. Tunda Huwa Ni Hitimisho La Mgogoro Baada Ya Mgogoro Wenyewe Kuwa Umepoozwa Tayari.
 
Mwanaume ni mwanaume, hata ukimpa atembee nayo, hayo madhara hayaepukiki.
Mimi ntamake sure nna play my part as a wife bt kutoka nje wanaume ipo kwenye damu zenu so msitafute excuse za kujustify uovu wenu
Hapana ukimpa unapunguza kwa asilimia nyingi kama siyo zote matatizo ambayo nimeelezea.
 
Hapana ukimpa unapunguza kwa asilimia nyingi kama siyo zote matatizo ambayo nimeelezea.
Ni kweli ukimpa munapunguza kwa asilimia nyingi kwani utamu ukikolea utasikia maneno laini hadi hatima huku ukisikia watu waitikia kwa furaha wakifuatana maneno na wakimaliza ndio basi wamekwisha baba nanihi si utaninunulia tenge he na baba nanihi atasikia sawa mke wangu nitakununulia mawili lakini usiniudhi tena ndio wamekwisha tena papuchi ni dawa ya maradhi 100
 
Back
Top Bottom