Usithubutu hata kidogo kumnyima mwenzi wako tunda

Usithubutu hata kidogo kumnyima mwenzi wako tunda

Aisee.. hiyo kitu ukiwa na hamu nayo halafu ukanyimwa akili huwa inahama kabisa na concentration kwenye mambo mengine huwa ni zero.
Mkuu upo sawa...inaonekana hivi vichwa viwili vinafanya kazi kwa ushirikiano.
 
Kama hajiskii atanisikia nje huko nitakavyokua nafanya mambo....ili ajue kama yeye amechoka wenzake wapo active.
Wakati mwingine ni vizuri kumuambia hisia zako.
 
Kama hajiskii atanisikia nje huko nitakavyokua nafanya mambo....ili ajue kama yeye amechoka wenzake wapo active.
Ukiona hali kama hizo mara nyingi psychologically anakuwa unfit, ujue hayo mambo yanahitaji maandalizi ya kiakili zaidi. Labda ana stress zake binafsi au kuna jambo ameliweka kinyongo. Work out to solve it, kuchepuka sio dawa, ni kuongeza shida.
 
kukosa sex pia ni shida, lakini pia kuna watu kila kitu kwao ni kinyongo uta work out mangapi? na wakati una work out kumbuka na wewe una stress za kunyimwa hivyo nadhani wa
kati unafikiria ku work out inabidi uchepuke kwanza ili akili itulie ndio utafute suluhu
 
Upo sawa...mawasiliano ni muhimu sana kwenye mapenzi...kupita mawasiliano vikwazo vingi vinatatulika.Kama pande zote zikikaa na kujadili namna ya kuwa na stable relationship, kila mtu atafurahia sana.Ila kama mojawapo ana kamchepuko nje alafu akija ndani anamwambia mwenzake kuwa amechoka tena kwa jeuri kubwa,jua hiyo ni hatari kubwa sana.
 
Habari!...

Kuna wanaume au wanawake wengi wakigombana tu na wake au waume zao huwa wanatabia ya kunyimana tunda.

Unapomnyima mwenzi wako tunda unasababisha madhara yafuatayo;
1. Kutafuta mchepuko

2. Kuyumba kiuchumi ndani ya familia. Kwasababu mara nyingi atatumia kiasi cha pesa kwa ajili ya mchepuko badala ya familia.

3. Madhara ya kisaikolojia kama msongo wa mawazo.

4. Ugomvi usioisha ndani ya familia. Hasa mmoja wenu anapokutana na mafundi wazuri wa nje ya ndoa.

Tafadhali wanajamvi unapogombana na mwenzi wako USISUSE KULA TUNDA.

"TUNDA NI TIBA MUHIMU SANA"
Hiviii mnagombana alafu mnanyimana ndio mnaanzaje maana vile vitu havigombani atiii.... C mtombane kibubububuuu? Au unamkuta mume na condom unagombaa uliyaka akapge kavuu!
 
kukosa sex pia ni shida, lakini pia kuna watu kila kitu kwao ni kinyongo uta work out mangapi? na wakati una work out kumbuka na wewe una stress za kunyimwa hivyo nadhani wa
kati unafikiria ku work out inabidi uchepuke kwanza ili akili itulie ndio utafute suluhu
Saa zingine muangalie na mnaowaoa, utakuta mwanaume amekaa na binti kwenye uchumba, kila siku binti ni vinyongo, kununa na kususa, lakini mtu anasema tabia tutafundishana, matokeo yake anaingia na vinyongo kwenye ndoa, ukimkosea jambo dogo tu linalorekebishika yeye hata hasemi, ananuna tu. Matokeo yake kitandani ukimgusa unapewa sijui kimirinda, mara kipepsi, sijui kiseveniapu...
Ila katika yote kuchepuka sio dawa, usijikute unazoa huko na maradhi..
 
Ukiona Umenyimwa Tunda Ujue Ugomvi Bado Haujaisha, Inabidi Utafute Namna Nyingine Ya Kusolve Huo Mgogoro Kabla Ya Kuomba Tunda Tena.
Mkuu Emmanuel, tunda ni tiba nzuri sana ya kumaliza migogoro. Unavyozidi kunyimwa ndivyo ambayo mgogoro unazidi kuongezeka.
 
Unaanzaje kumnyima mwenzi wako tunda sasa? Msinyimane bana,
Akina dada huwa wanasahau kuwa wanaume wana vichwa viwili cha Juu na kichwa cha Chini. Kimoja kisipo shiba ni hatari.
 
Aisee sijawai kumnyima mwanaume papuchi coz of kugombana kama anataka nampa tena naongeza utundu zaidi ili afurahi na ugomvi utaishia hapo
 
Back
Top Bottom