Duuh mwanaume mbaya sana huyo,yaani mchoyo wa nanihiiwakati wewe una kiu, eti amechoka mara tumbo linamuuma au anajisikia uchovu eti umuhurumie apumzike khaa,hata hivyo mamii jikaze iko siku ataacha na wewe utakula mbivu mamii,kwa sasa maji ya moto yanahusika.ana
kwambia mara amechoka mara tumbo linamuuma au anajisikia uchovu umuhurumie apumzike
Daah marabuku.kweli mkuu kuna jirani yangu hapa mdada anakitembeza sana wamegombana na mume miezi mitano sasa hawajaduu
Unakata mti wao wanapanda miti.[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Halafu siku hizi vijana mtaani wakigundua tu hilo wanawekeza fasta
Daah yaani unamuacha kabisa huku ukujua anumia?,daah hiyo ni maumivu ya ashakum yasioelezeka,jaribuni kuwa na huruma.Nimechoka au sijiskii...
Baby hilo swali nikuulize wewe bhana.Unaanzaje kumnyima mwenzi wako tunda sasa? Msinyimane bana,
Ndo ubakaji unapoanziaWenye ndoa ebu nijibuni tafadhali, hivi kama mke hayupo period, wala hana discomfort yoyote, akitaka kukunyima unyumba huwa wanatumia maneno gani???
Hakuna maradhi coz always mambo kwa sox.Saa zingine muangalie na mnaowaoa, utakuta mwanaume amekaa na binti kwenye uchumba, kila siku binti ni vinyongo, kununa na kususa, lakini mtu anasema tabia tutafundishana, matokeo yake anaingia na vinyongo kwenye ndoa, ukimkosea jambo dogo tu linalorekebishika yeye hata hasemi, ananuna tu. Matokeo yake kitandani ukimgusa unapewa sijui kimirinda, mara kipepsi, sijui kiseveniapu...
Ila katika yote kuchepuka sio dawa, usijikute unazoa huko na maradhi..
Mhhh na kirungu kimevimba kweli ataelewekaana
kwambia mara amechoka mara tumbo linamuuma au anajisikia uchovu umuhurumie apumzike
Hahahahaa...kwamba unaachanisha upaja kwa nguvu au?...watu hamuishiwi masihara aisee.Ndo ubakaji unapoanzia
Masiara wapi moja ya jukumu katika ndoa n kuhakikisha mwenzio hana nyege........! Sa mtu unatoka huko na nyege zako afu mtu anakuletea visababu vidogo vidogo eti mala utaskia cna mudi unategemea nn apoHahahahaa...kwamba unaachanisha upaja kwa nguvu au?...watu hamuishiwi masihara aisee.
Hiyo namba mbili ni sahihi kabisaHabari!...
Kuna wanaume au wanawake wengi wakigombana tu na wake au waume zao huwa wanatabia ya kunyimana tunda.
Unapomnyima mwenzi wako tunda unasababisha madhara yafuatayo;
1. Kutafuta mchepuko
2. Kuyumba kiuchumi ndani ya familia. Kwasababu mara nyingi atatumia kiasi cha pesa kwa ajili ya mchepuko badala ya familia.
3. Madhara ya kisaikolojia kama msongo wa mawazo.
4. Ugomvi usioisha ndani ya familia. Hasa mmoja wenu anapokutana na mafundi wazuri wa nje ya ndoa.
Tafadhali wanajamvi unapogombana na mwenzi wako USISUSE KULA TUNDA.
"TUNDA NI TIBA MUHIMU SANA"
Kazi njema mkuu...Fyatueni watoto muongezeke muijaze Tanzania na kuitiisha.Masiara wapi moja ya jukumu katika ndoa n kuhakikisha mwenzio hana nyege........! Sa mtu unatoka huko na nyege zako afu mtu anakuletea visababu vidogo vidogo eti mala utaskia cna mudi unategemea nn apo
Kuna wengine wataalamu wa kuchezea papuchi ilA mziki unakuja kwenye kufyatua sasaKazi njema mkuu...Fyatueni watoto muongezeke muijaze Tanzania na kuitiisha.
Ngoja nisome ili niendelee kupata uzoefuHabari!...
Kuna wanaume au wanawake wengi wakigombana tu na wake au waume zao huwa wanatabia ya kunyimana tunda.
Unapomnyima mwenzi wako tunda unasababisha madhara yafuatayo;
1. Kutafuta mchepuko
2. Kuyumba kiuchumi ndani ya familia. Kwasababu mara nyingi atatumia kiasi cha pesa kwa ajili ya mchepuko badala ya familia.
3. Madhara ya kisaikolojia kama msongo wa mawazo.
4. Ugomvi usioisha ndani ya familia. Hasa mmoja wenu anapokutana na mafundi wazuri wa nje ya ndoa.
Tafadhali wanajamvi unapogombana na mwenzi wako USISUSE KULA TUNDA.
"TUNDA NI TIBA MUHIMU SANA"
Mara nyingi hutumia maneno ya mfano ulimnyima kumnunulia dera basi nae usiku anakwambia mi sikupi hadi uninunulie dera kwa kuwa umeshikika unataka tunda ndipo unachanganyikiwa ama tunda ama deraWenye ndoa ebu nijibuni tafadhali, hivi kama mke hayupo period, wala hana discomfort yoyote, akitaka kukunyima unyumba huwa wanatumia maneno gani???