Usisubiri ufike uzee ndo ukumbuke kufanya biashara

Joined
Jun 3, 2014
Posts
63
Reaction score
68
Ni watu wachache sana ambao wanataka kufanya kazi mjini, kwa kuogopa kua eti vijijini mtu anachafuka, Ingawa ukweli ni kwamba kwa mtu ambaye anapenda kilimo ni rahisi sana kukaa vijijini zaidi, sababu anajua kua anaweza akapata mshahara lakini akawekeza kwenye kilimo

Na hata hivyo mtu aliyezoea ujasiliamali hata akihamia mjini atatafuta njia ya ziada ili lengo lake litimie, Mfano kuuza bidhaa MBALIMBALI, ni vyema ungali kijana ukajiwekeza kwenye kilimo, na hali ukiwa na nguvu ni Bora ukajiandaa kwa kuweka akiba ya Chakula kwa kilimo.

Brotherkakapielo_official
 
Kilimo hiki cha kutegemea mvua au kilimo cha umwagiliaji? Kama ni umwagiliaji basi vijana wengi tutafeli maana resources hatuna.
 
Sababu ya kukimbilia mijini sio kuogopa kuchafuka, kwa wafanyabiashara ni kufuata soko. Idadi ya Wanunuzi ni muhimu sana kwenye biashara.
 
Ndio, hao ni wale wanaojielewa, kuna wengine hata biashara hawajui, wanategemea Kazi ya kuajiriwa tu, na wengi wanapenda kufanya kazi mjini, ili akienda vijijini aonekane anaheshimika.
 
Acha kupangia watu maisha, hivi mkoje nyie?
Hahaaaaaa, tunawakumbusha, ndo maana wazee wa zamani wanajiamini sababu walikua sio wavivu, walikua wanategemea kulima na kuajiriwa, sasa hivi wavivu wa kulima ni wengi,

Juzi nmekutana na mwalimu mmoja, akadai waalim wengi kulima wanaona ni kupoteza mda, hivo wanategemea mshahara tu
 
Kilimo hiki cha kutegemea mvua au kilimo cha umwagiliaji? Kama ni umwagiliaji basi vijana wengi tutafeli maana resources hatuna.
Kuna msimu wa mahindi, maharage, Arizeti nk, hiki kilimo sio cha umwagiliaji, ni cha kawaida tu, mfano Nov mpaka Dec wanaanza kupanda mahindi.
 
Back
Top Bottom