😀😀wakitokea watu wazima kumi Wa aina ya huyu mtu basi taifa litaangamia!!!Ni Baba Swalehe
Ngoja mimi nikajitafutie langu nalo liwe gumzoKitu ya D. Mosha hiyoo
Hiyo gari ni ya Le Mutuz, sema anamwachia huyo David Mosha aoshe jina tu.
Hana upartner wowote,mwenye mali ni RiZ1 hao wote wabeba mikoba tuu.Le mutuz kajipendekeza kama kawaida yakeNi Baba Swalehe
Umri huo anasimama mbele ya gari ya mtu mwingine anapiga picha!yataka moyo hivyo vituko😀😀wakitokea watu wazima kumi Wa aina ya huyu mtu basi taifa litaangamia!!!
Ni aibu aibu kubwa Sana..hivi yuko na watoto huyu???..Umri huo anasimama mbele ya gari ya mtu mwingine anapiga picha!yataka moyo hivyo vituko
Riz hana hata kumi kwa DELINA... Kamuulize Uhuru Kenyatta atakwambia Mosha ni naniHana upartner wowote,mwenye mali ni RiZ1 hao wote wabeba mikoba tuu.Le mutuz kajipendekeza kama kawaida yake
Teh teh tehh......Hiyo gari ni ya Le Mutuz, sema anamwachia huyo David Mosha aoshe jina tu.
Huyu jamaa yuko tayali kufanya chochote ili aonekane mambo safiShikamoo pesa.....![]()
ndiyo ni lemutuzzHuyo mlangoni sio Le mutuzz kweli?