Usiseme hatuna hela...sema sina hela

MT255

JF-Expert Member
May 3, 2012
3,596
4,890
Shikamoo pesa.....
5e66076f290c414eae24e0e7ceb400e1.jpg
 
Hiyo gari niliisikia tangu mwaka habari zake,nasikia ilikuwa ya mtu ikamshinda jamaa kama kawaida yake na style ya mizoga iliyowashinda mafisi akaokota dodo,ngoma ikawa jinsi ya kulisajili, maana nasikia kodi yake ilikuwa ndeefu.
 
Kwa watz hunaweza kukuta owner ndio anaendesha mwenyewe,while inatakiwa uwe unaendeshwa halatu dereva kavaa vile vikofia kama vya askari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom