Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 3,541
- 4,529
MmmU! eti rundo la kuni. Gusa usikie bei.Mjini kuni utapata wapi? Hapo ni mwendo wa kutafuta mfuko kigulu na njia mkaa ulipo.
Ila kule kwa Bi mdashi anarundo la kuni aisee.
MmmU! eti rundo la kuni. Gusa usikie bei.Mjini kuni utapata wapi? Hapo ni mwendo wa kutafuta mfuko kigulu na njia mkaa ulipo.
Ila kule kwa Bi mdashi anarundo la kuni aisee.
Kusonya haitawezesha LUKU ipatikane. Hapo ni lazima Ubonyeze kitufe cha Lipa Bill halafu uchague nunua luku kwenye cm yako.Ile unakaa tuu kwenye kiti sebllleni umeme unakatika ukiuliza umeisha.
Unaweza kuondoka unasonya mpk ufike ndani shenzi type.
Yaani udaiwe kodi ya na iwe umefikuzwa kazi hii duet ni balaa.
Kabisa ila mjini kimbembe, mkaa na jiko uwe nalo!Mjini kuni utapata wapi? Hapo ni mwendo wa kutafuta mfuko kigulu na njia mkaa ulipo.
Ila kule kwa Bi mdashi anarundo la kuni aisee.