Usirogwe ukawaamini Mamlaka ya Hali ya Hewa. Utajuta

Usirogwe ukawaamini Mamlaka ya Hali ya Hewa. Utajuta

daresalam kutakuwa na mvua kidogo jua kidogo na hali ya mawingu hapo utaelewa nini ? na mikoa yote ataitangaza hivyohivyo huo ni utabiri wetu tanzania
 
Back
Top Bottom