Hahah! Nakusalimia pia mkuu glass amo...
Yaani JF napaona ndio kama duniani na duniani napaona ndio Jf. Nisipoingia humu napata wakati mgumu sana nakua kama nimetengwa na ndugu jamaa na marafiki...
Kuna wakati nikitaka kutoka najisahau naingia jf uzi wa magari kwa leo la kutafuta gari ili nitoke. Au nikisikia njaa najisahau naingia jf chief badala ya kwenda jikoni....
Kama leo sijala kwasababu ya jamaa anaitwa Duke kapost chakula kibovu kabisa alichopikiwa na mkewe yani kimenitia kinyaa....
Duniani = Maisha halisi..
NB yote hayo nikiwa sina shughuli ya kufanya..