Usipoingia JF unajisikiaje?

Usipoingia JF unajisikiaje?

je usipo tumia jamii forum unajisikiaje???

  • vizur

    Votes: 0 0.0%
  • vyote viwili

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    4
hahahahh.
pole mkuu kwa ban.
but tuko pamoja kwa hili.
Mimi if n zaid ya vyote mkuuu
Asante mkuu"" huwezi kuwa big fish "" mpaka uweze kuwa mtatuzi wa changamoto za bahari "" so ndio ukubwa huu aiisee""" hata zile risasi 30s zimemfanya lissu kuwa mkubwa nakupevuka zaidi"""
 
hahahahha.
naamin kabisaaa.
salute to u mkuu
 
Hahahahaha eti hondo za BAK LoL! Ukawa unawaza saa hizi BAK anafanya vitu vyake kule siasani sijui kishakorofisha tena naye kupigwa BAN kwi kwi kwi LoL!
hahaaa yaani acha"" nilikuwa natoa toa macho tu "" sisi wengine tuliokosaga motisha ya kuwa na multiple I'd humu "" huwa tunapataga shida mnoo aiise"" ijapo kuwa tunafanya hivyo kwaajili yakulinda heshima na utu wetu""
 
Kuwa na ID mbili au zaidi kwa wengine ni ngumu sana Mkuu. Miandiko yetu ni mibaya sana hivyo ni rahisi kustukiwa, mh huu mwandiko wa BAK kabisa kwa hiyo ni bora kula kifungo. Ila mimi huweza kusoma ninayoyaka kuyasoma ila kujibu ndiyo inakuwa noma.

hahaaa hapo kwenye kusoma unayoyataka "" huwa naona kama najidhulumu nafsi aisee"" waweza kutana na topic nzuri/statement watamani kuijazia Nyama"" lakini unakuwa unashindwa tu"" unaishiwa nguvu ghafla kama Samson baada ya kukatwa nywele ""
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kuwa na ID mbili au zaidi kwa wengine ni ngumu sana Mkuu. Miandiko yetu ni mibaya sana hivyo ni rahisi kustukiwa, mh huu mwandiko wa BAK kabisa kwa hiyo ni bora kula kifungo. Ila mimi huweza kusoma ninayoyaka kuyasoma ila kujibu ndiyo inakuwa noma.

kweli kabisa
 
Hahahahaha lol! We acha tu Mkuu huwa inakera sana na hapo ndipo unaichukia BAN kupita maelezo.

hahaaa hapo kwenye kusoma unayoyataka "" huwa naona kama najidhulumu nafsi aisee"" waweza kutana na topic nzuri/statement watamani kuijazia Nyama"" lakini unakuwa unashindwa tu"" unaishiwa ghafla kama Samson baada ya kukatwa nywele ""
 
Back
Top Bottom