Usipoingia JF unajisikiaje?

Usipoingia JF unajisikiaje?

je usipo tumia jamii forum unajisikiaje???

  • vizur

    Votes: 0 0.0%
  • vyote viwili

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    4
Hahahaa. Hapo sawa umejua kujitetea mdogo wangu na nimejikuta nashawishika kukuamini. [emoji12]

Bado Davet naye. Hahahaaaa.
Mimi huwa sipo online kwa akili yangu timamu mara nyingi saa mbili tu nalewa nikiwa online basi mpaka asubuhi nakua nimeitelekeza simu nikiwa online vile vile

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ngojatumsubiri na Davet tuje tuone utetezi wake ila nahofia anaweza kuja kuibia hizi point zangu afanye kitonga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi toka Hajar aniahidi kunianzishia uzi wa asubuhi njema basi kila siku nimekua nikiamka saa kumi kuusubiri lakini kawa muongo kila siku ananitesa...
 
Mimi naona kawaida tu, kwanza inaweza ikapita hata week sijaingia.
 
Kawaida tu, ila nisipoingia muda mrefu kuna watu na vitu ninamiss.
Humu kuna ile watu mnaishi kama mnafahamiana hivi, kwahiyo nakuwa nawamiss.
 
Mie hapa rafiki. Nimeboresha tu ili uone nilivyoshikwa na huzuni ya wewe rafiki kuacha kula. [emoji85].

Ndio gazeti lile atiii. Inabidi nikuige na mie kwenda huko kwenye magari. Hahahaaaa.
Hahah!! Asante rafiki kweli sijala leo nawaza yale magozi ya jamaa...

[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom