Usipoingia JF unajisikiaje?

Usipoingia JF unajisikiaje?

je usipo tumia jamii forum unajisikiaje???

  • vizur

    Votes: 0 0.0%
  • vyote viwili

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    4
Hahahahaha lol! We acha tu Mkuu huwa inakera sana na hapo ndipo unaichukia BAN kupita maelezo.
hahaa waweza watamkia maneno machafu mods kimoyo moyo aisee""pasipo kuzingatia kuwa wao wapo kazini"" nawana paswa kufuata privacy policy ya kazi yao ""
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Lol! Mie huwa situkani mtu bali kuhesabu siku ngapi zimebaki kumaliza BAN.

hahaa waweza watamkia maneno machafu mods kimoyo moyo aisee""pasipo kuzingatia kuwa wao wapo kazini"" nawana paswa kufuata privacy za kazi yao ""
 
Sawa Mkuu usingizi mwema na njozi njema. Mi maeneo ya bomba mkuu lakini si kuganda pale kama umepigiliwa misumari.

mambo ya break point "" mwembe jini"" yaelekea hubanduki Pale ""


usiku mwema comred"" naona uwezo wa kupambana na usingizi umefika kwenye ukingo""
 
Hahahaa. Mna hatari sana nyie aiseee.

Au kisa jf kuna jukwaa la mapishi nini. Hivyo mtashibia hukuhuku. [emoji12]

Davet

hahahahaha.
swadaktaaaaaa
Kama ulijua vile mwali..
karibu tushinde huku siku moja tule kabisaaaaa alafu jion ndo urudi nyumbn kula
 
Ndio najiandaa niyapeleke kwa kweli ili na mie nijiridhishe kama kweli kukosa elimu, furaha na Uhuru ndio sababu ya watu kulala na kuamkia huku.

Hivyo mkemia ndio atatupa jibu kamili. Teh teh teh.

hahahahaba.
mwali akikupa majibu Mara moja leta mrejesho hapa alafu unitag na mim
 
Back
Top Bottom