agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,414
Huyu mtoa mada amekuoneaHahahaa. Hiyo safi mdogo wangu.
Huyu mtoa mada amekuoneaHahahaa. Hiyo safi mdogo wangu.
Niweke tu.Naomba nikuweke bize agie
Hahahaaa. Hivyo katika wale mateja na wewe umo lol.
Hatakama uingie upige story tu basi roho yako kwatu mshenga. [emoji85]
Nimeshangaa kwakwelii.Umeonaeeee. Ila nimeshamsamehe kwa kweli.
Mie na uteja wa jf wapi na wapi mdogo wangu? [emoji85]
Kweli kabisa Dada yangu, ila muda mwingine nikiwa nimechoka sana au kukiwa hamna mada ya kuchangamsha huwa naondoka mapema au napitiwa nAa usingizi na kucha data zipo on tu hadi asubuhiHahahaa. Nakumbuka mdogo wangu.
Ila sio mbaya kabisa , kina sie wapenda usingizi saa mbili mwisho jf labda itokee tu ndio utaona nazidi japo nusu saa.
TrueHao uliowataja hapo wapelekwe sober house ya addiction ya JF maana ikitokea hawajaingia hata siku moja wanaumwa homa.
Ukimteka mzigua asitumie simu yake kwa siku au akupe bumunda kwa hiari basi utakuwa unawazia tu style atakayokupia bumunda maana itakuwa ni uhakika. Ahahaha!
Beware guys JF is addictive
Hahahahahaaaaa.