Usipoingia JF unajisikiaje?

Usipoingia JF unajisikiaje?

je usipo tumia jamii forum unajisikiaje???

  • vizur

    Votes: 0 0.0%
  • vyote viwili

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    4
Hahahaa. Hapo sawa umejua kujitetea mdogo wangu na nimejikuta nashawishika kukuamini. [emoji12]

Bado Davet naye. Hahahaaaa.
Hahahahaaaa.

Kujitetea ni lazima hata mwizi ukimbaba anaiba ukimuuliza kwa nini unaiba atajitetea tu mara nyingine anaweza kukuambia sijaiba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hao uliowataja hapo wapelekwe sober house ya addiction ya JF maana ikitokea hawajaingia hata siku moja wanaumwa homa.

Ukimteka mzigua asitumie simu yake kwa siku au akupe bumunda kwa hiari basi utakuwa unawazia tu style atakayokupia bumunda maana itakuwa ni uhakika. Ahahaha!

Beware guys JF is addictive
[emoji23][emoji23][emoji23]...

Aisee mkuu huu ni ugonjwa kweli
 
Hahahaaa. Na umejua kujitetea mdogo wangu kwa kweli.

Safi sana. [emoji122] [emoji122]
Ngojatumsubiri na Davet tuje tuone utetezi wake ila nahofia anaweza kuja kuibia hizi point zangu afanye kitonga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hahahaa. Na hashindwi hata kusingizia kwamba huwa anasubiria game za Champions league.

Ila mie huwa niko makini sana yaani katika kupambanisha utetezi kama akikuiga tutaona tu.
Hahahahahaaaa

Ni kweli maana kwenye nyuzi zao huwa hakosekani hiyo mida
 
Umeonaeeee. Nilijua ni ile misemo yenu ya kisasa nyie Vijana. [emoji85] [emoji85] .

Sababu inabadilika badilika kila kukicha.
Nilikosea bana, mimi huwa najitahidi kuandika maneno sahihi kabisa ya kishwahili popote ninapoandika ujumbe mfupi sitaki kufuata mkumbo wa kidot.com hauna tija yoyote zaidi ya kujizoeza hatimaye baadae inaweza kuja kuathiri hata kwenye malezi ya watakaopitiwa mikononi mwangu
 
Wakuu hope mko fine.

Yangu Leo n machache. Kama kichwa cha habar kinavyo eleza. binafsi hua nahisi kukosa kitu cha muhimu pindi inapo tokea sijapata nafas hata dakika moja ya kuperuzi humu. sjui kwa upande wako hua unajiskiaje? tushirikiane hapa kuujenga na kuutambua umuhimu waJamii forum katika maisha yetu ya kila siku...

nawasilishaaaa
Davet Shunie Mzigua90 Hajar Mwifwa Bujibuji Mshana Jr Sakayo RRONDO
Hahah! Nakusalimia pia mkuu glass amo...

Yaani JF napaona ndio kama duniani na duniani napaona ndio Jf. Nisipoingia humu napata wakati mgumu sana nakua kama nimetengwa na ndugu jamaa na marafiki...

Kuna wakati nikitaka kutoka najisahau naingia jf uzi wa magari kwa leo la kutafuta gari ili nitoke. Au nikisikia njaa najisahau naingia jf chief badala ya kwenda jikoni....

Kama leo sijala kwasababu ya jamaa anaitwa Duke kapost chakula kibovu kabisa alichopikiwa na mkewe yani kimenitia kinyaa....

Duniani = Maisha halisi..

NB yote hayo nikiwa sina shughuli ya kufanya..
 
Hahah! Nakusalimia pia mkuu glass amo...

Yaani JF napaona ndio kama duniani na duniani napaona ndio Jf. Nisipoingia humu napata wakati mgumu sana nakua kama nimetengwa na ndugu jamaa na marafiki...

Kuna wakati nikitaka kutoka najisahau naingia jf uzi wa magari kwa leo la kutafuta gari ili nitoke. Au nikisikia njaa najisahau naingia jf chief badala ya kwenda jikoni....

Kama leo sijala kwasababu ya jamaa anaitwa Duke kapost chakula kibovu kabisa alichopikiwa na mkewe yani kimenitia kinyaa....

Duniani = Maisha halisi..

NB yote hayo nikiwa sina shughuli ya kufanya..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka
 
Hahahaa. Pole mdogo wangu kwa kuingia chaka.

Pia Hongera sana kwa umakini ambao huwa unao.
Na weee pia uko makini maana umegundua kitu ambacho sikutarajia kama ungekiona endapo ungesoma bila kuzingatia maana ya kila neno na usahihi wake.

Hongera pia kwa huo umakini wako
 
Back
Top Bottom