Usipoingia JF unajisikiaje?

Usipoingia JF unajisikiaje?

je usipo tumia jamii forum unajisikiaje???

  • vizur

    Votes: 0 0.0%
  • vyote viwili

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    4
Jamani hivi jf imebadilishwa version?
Mbona kwangu imebadilika kabisa?Na kuingia humu nimetumia njia ngumu sn.
Me naumwa nisipoingia
 
Jamani hivi jf imebadilishwa version?
Mbona kwangu imebadilika kabisa?Na kuingia humu nimetumia njia ngumu sn.
Me naumwa nisipoingia

pole sana mkuu.
jaribu kui download upya application
 
Sijawah kukuona ukikosa humu shemu [emoji4][emoji4][emoji4].

Mwanzo niliwahi dhania wewe ni staff wa humu,

Am pretty sure.

hahahahahahha.
mbavu zangu my foot.
yani uko sawa kabisa
 
Back
Top Bottom