chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,764
- 2,566
Tungekuwa dhaifu mngetutegemea? tungekuwa dhaifu ungezaliwa wew? ungehudumiwa hadi ulifikia kujitegemea? wew ni aina ya wanaume mnaoendekeza mfumo dume. jiangaliee
Haya kalale basi, punguza kelele
who r u 2 judge? r u dat much perfect...! Mpuuzi atafanyaje kazi ikaonekana ukapata la kutizama??? Ukitaka kumjua zisiyemtosha sikiliza kauli zake.
wanaume wengine wanaboa banah..... wengine wanapenda tetemekewa ..sa umtetemekee mtu kila kukicha anakupiga mizinga mwanamke na kujihami sina hela sima hela ukimuomba hela kidogo tu atakuelezea shida zake bululu utajuta kumuomba afu hom ajitutumua na kifua mbelembele makelele yasiyoisha wee mwanamke wee mwanamke khaaa!!!!!!
Kama una mashiko, y not? Cna tatizo na UKWELI wa aina yoyote ile. Nnacho kataa ni unafiki wa kutuambia tofauti na yale yanayooneka ktk familia mbalimbal znazotuzunguka.Na mimi Nina experience Katika ndoa pia, but ipo na muonekano tofauti kabisa na wa huyo bibie. Can I share with you??? Utaukubali na kuupa support kama huu wa bibie???
Tatizo letu sisi binadam hatutaki kuonyesha madhifu yetu ili tukapata ushauri na msada. Ni kweli mtoa mada kwa kiasi fulani ameshakata tamaa ya kuolewa au kumpata mtu alie kua akimfikilia katika maisha yake anachokifanya ni kuwaposha wanawake wenzie ili waharibu kama yeye alivyo jiharibia maisha yake ya mahusiano amani ya moyo huwa ni zaidi ya pesa. Tuwe makini na makundi yetu makundi mengi huwa niya kutiana ujinga "Mungu kaumba wanaume na wanawake waoane ili wapate utulivu , wapendane na waoneane huruma Tatizo ngono tumeilarisha tumechukulia kama sifa mtu kua malaya mtaani ila tusubiri adhabu za kaburini na siku ya mwisho penda usipenda lazima utakumbana nayo tuwe makini na Dunia hii. Duniani tunapita tu
umesoma title ya hii thread na content yake???
unafaham maana halisi na sehem linalotumika neno "kuhonga"
Mtu tunaamka wote 6am tunapambana wote na mafoleni bills za nyumbani tunalipa half and half alafu eti unataka heshima ya mume,im soleeeeee chief unataka heshima ya mume embu kuwa mume kwanza take care of me and our kids uone kama sijakupigia na goti wakati nakupa chakula,,,,hahahahhahahhahahaha...! Nachosema ni kwamba kama wanaume siku hizi wanataka wanawake ambao wana hela zao pia wakubali kuwa benefits zao flani flani lazma zipoteeee, for example, kujifanya ndo kichwa cha nyumba, kujifanya una sauti kwenye maisha ya mkeo, kupewa unyumba unapojiskia, chief hata tendo la ndoa linanoga pale unapokuwa na mtu anaejua ku take care mwanamke...! mtu unanilipisha kila kitu half half alafu kila siku wataka nigeuzakama za kwenye movie za X hapana aiseeee, hapo tendo itabidi lifanyike wakati wa kutafuta mtoto basi...! hahahahh na nyie wanawake acheni uzuzu sio lazma uwe na mume jamani ili uwe kamili. Bora uwe mwenyewe kuliko kuwa na jitu hata shingi kumi halikusaidiiii..! eeeh women power ndo hiiiiii...! Wengi wenu mnakuwa desparate hamtaki kuwa single mnaona kuliko kuwa single bora uwe na anyone. mwingine anaona bora atoke tu na yoyote for now then Mr. right akitokea atasepa atamwacha huyo apache...! Hapo ndo mnapokosea ukishaingia kwenye relationship na hawa wasio na kitu kutoka ni shidaaaaaaaaaaaa hakuachiii ngooo...! na huwezi pata anybody else coz ana monitor kila kitu chako. Yani anakuwa na wivu wa balaaaa maana anajua kabisa he doesnt deserve you basi anabana kona zoooooote.hupati mtu ngoo¡-! mpaka utajikuta unaolewa nae, ahhahahahahhahahahah. Dont settle for less that what you deserve, bora ukae single mpaka Mr. right aje..!! Mwisho wa kunukuu, by Mange Kimambi
Kwanza nyie wanawake wa leo hamna cha aibu hata mtu angekupikia kama hufai hufai tu...tabia haina dawa...mnasema haki sawa ukisikia kibaka hutoki nje sasa usawa upi..nyie mkubali mliumbwa kuongozwa na ndio ukweli na mtaendelea kuongozwa lakini nikikuoa unipe mbunye kwa mafungu unakula tifu...ndoa sio pesa...ndoa ni heshima na kutambua ww ni mke wa mtu baasi...kusaka wanaume wenye hela utafanywa sana mana sisi wanaume tuna sanaa nyingi ntakuhonga laki na magari kibao niazime kwa jamaa kila nikija na gari tofauti nkishakusaula baaaasii hunioni...be careful wanwake huyu hawashauri anawapotosha...
Mtoa mada atakuwa mtoto wa nje ya ndoa.....Nenda kajifunze kwanza kuandika kwa PARAGRAPH ndio uje ulete hizo porojo zako hapa...1
Mtu hata kuandika kwa ufasaha hujui alafu unakurupuka tuu Unatokwa povu utafkiri unaumwa degedege!
Ivi unajua maana ya ndoa ww? wazazi wako wako kwenye ndoa? we unafkiri ndoa ni gharama za kuilea familia tu,si ndio?umesahau zile moment ambazo mwanamke anafikia anahitaji mwanaume aliemkubali na kumzoea kwa ajili ya kumliwaza?
Your thread contains full of Shit,PUMBAAAAAF.....!
Naomba fafanua balaa unalomaanisha then narudi
Mungu aliona mbali hawa viumbe kuwatoa ubavuni...na sio kichwani...
Tungekuwa dhaifu mngetutegemea? tungekuwa dhaifu ungezaliwa wew? ungehudumiwa hadi ulifikia kujitegemea? wew ni aina ya wanaume mnaoendekeza mfumo dume. jiangaliee
Haya kalale basi, punguza kelele
Kama wewe ni mtoto wa kiume basi sio riziki kabisaa
peleka ujinga wako huko, uwe mwanaume tegemezi alafu uchekewe tu, wanaume wote tegemezi hii mada imewanyima usingizi. tumien nguvu kutafuta pesa na kuhudumia familia, sio kutumia nguvu kuja kubishana na ke hapa.
Ficha upumbavu wako upate maarifa...
Hivi jamii za makabila ya kaskazini mtu ana wake watatu wote anawapa mashamba na mifugo ili walime na wamletee chakula..jamii nyingi za kiafrica mwanamke ndo analima kwa ajili ya chakula na watoto wa kiume wanachunga,unataka kuniambia nao ni sio riziki according to ure stupidity post...
Mara nyingi wanaume ni kudumisha ulinzi na management ya hiyo familia na jamii kwa ujumla
Huu ni mjadala utajifunza mengi.
Kuzaa hata mbuzi anazaa na pia analea na bado akili hana. Hahahahahah cna maana hyo ya sheikh khalifa