Usipohonga yakikukuta usilalamike

wamezid kupotosha eti kuvumilia UMASKINI ndo true love. Wanaume wameshndwa majukumu hawa. Baba zetu walkua wanaume haswaa....mama zetu walitulia nyumban wakatulea, bila hata stress.

Uko sawa umesema vyemaaa nakuunga mkono na mguu piaaa.
 

Kama wewe ni mtoto wa kiume basi sio riziki kabisaa
 

Unang'ang'ania ume-quate swali, je amekutuma upost JF na je ulishaisoma na kuielewa? Toa maon yako sasa tukujue akili zako za n kuku au bata maana nahc c vinginevyo
 
Mazee ukweli ni kwamba, mwanaume unapaswa kugharamikia kila kitu hadi chupi na pedi za mke, watoto, beki 3. Gharama za pets wa nyumbani, bustani, ulinzi wa nyumba etc, kila expenses kwenye family ni jukumu la mume.
Kama una mke anakusaidia hayo bahati yako nzuri kama analalamika ndo ujipange unafanyeje.
 

Soma kitabu cha mwanzo majukumu ya mwanaume yalikuwaje
 

Sio lengo la mada hii soma tena utamuelewa tu
 
Unang'ang'ania ume-quate swali, je amekutuma upost JF na je ulishaisoma na kuielewa? Toa maon yako sasa tukujue akili zako za n kuku au bata maana nahc c vinginevyo

maoni yangu hujayaona bado? Usintanie.
 
100% agreed, the only way to stop a thousand women being prostitutes is to create a thousand well paid, low skilled job. But for this thread, she's more than shetanii..!!

Soma tena utamuelewa. Kuna Vitu ikiwa hamsini hamsini kwenye ndoa ama mama akikuzidi utavipata na ukivihitaji lazima utumie hekima au house girl/ house boy ili uvipate ila ukitumia kuwa wewe ni baba ati kichwa cha familia forget it babuu na ndio utakuwa mwisho wa ndoa na hili mama asitupiwe lawama Bali baba kaivunja ndoa kwa mikono yake mwenyewe. Jiulize kwa nini ndoa za mama zetu zilidumu?. Naturally men are givers while women are receivers men provide always.
 
Hapo hukupaona au jeur?

Mkuu nimeona kama umenukuu but upo kuitetea sana hiyo hoja as if you are Mange!!! Na mimi Nina experience Katika ndoa pia, but ipo na muonekano tofauti kabisa na wa huyo bibie. Can I share with you??? Utaukubali na kuupa support kama huu wa bibie???
 
u waiting for Mr.Right...are u Madam right?
 

Hongera wee mwenye MAHABA NIUWEE, MAHABA NIVURUGEE..., MAHABA NIPOTEZE KULIKO NDEGE YA MALASIA, MAHABA NICHANGANYE KAMA RASMU YA KATIBA YETUUU.... nk
 
yaani we acha tu ....tena mtu anachachamaa kabisa mi namuangaliaaaaaaaaa nakaa kimya siku ya siku akitaka kunipanda kichwani nasemaaaaa weeeeee basi utasikia wee mwanamke una jeuri kweli sikuhizi.. unanidharau sana...nyooooooooooo!
 
Ndoa ni kuheshimiana, kusaidiana wala haina mkubwa!
Ukiingia na mtazamo kama huu wako, ni dalili ya kushindwa.
Stay calm women!
^^

wanaume wengine wanaboa banah..... wengine wanapenda tetemekewa ..sa umtetemekee mtu kila kukicha anakupiga mizinga mwanamke na kujihami sina hela sima hela ukimuomba hela kidogo tu atakuelezea shida zake bululu utajuta kumuomba afu hom ajitutumua na kifua mbelembele makelele yasiyoisha wee mwanamke wee mwanamke khaaa!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…