she z havn a very happy family wth three kids. So she is actually speaking from xperience sio nyie wa kukariri ndoa ndoa ndoa. Mwenzio katoka kucelebrate her 5th annivesary ya ndoa upo? Narudia tafuta HELA.
Hahahaa eti kuvumilia umaskini ndio mdudu gani huyoo, nasema hivi ni bora niwe singoooo, pumbaf
Sasa wasubiri nn c uwe singo......wala usingeleta haya makelele Kama ungeweza hayo ungekuwa kimya huko singo
pole shost...mimi huyo tulipishanaga sana halafu ilikua hazipiti siku 2 ugomvi siku 2 ugomvi...haaa babu eeeeee shida yanini kila mtu akasambaa kivyake sijui lipo wapi nowadays!
Nimekupa like,,,, afu hujanikera bado..... tukana sema ovyo ukimaliza kalale
I know my principles and I will stand by them kama kila ninachofanya kwenye ndoa hata nikiwa single naweza fanya mwenyew am soleee ndoa si lazima,am better off myself
Hongera wee mwenye MAHABA NIUWEE, MAHABA NIVURUGEE..., MAHABA NIPOTEZE KULIKO NDEGE YA MALASIA, MAHABA NICHANGANYE KAMA RASMU YA KATIBA YETUUU.... nk
My bora useme na wew, watu hawataki kukubali ukwel, mim binafsi nawashangaa wanaume ambao hawawajibiki, unakuta anamshahara mkubwa kuliko wew ila yey tar 3 mshahara sijui umeisha au ndio amepanda unaota, mambo yote nyumbani anafanya mama ila kazi kupiga kelele za kufoka ili majirani waone na yeye yupo, usiombe imetokea shida ya ghafla labda mtoto anaumwa utasikia "mama hauna chochote? azima basi kwa rafiki yako tutarudisha" huyu nae eti mwanaume kha!. wanaume wengine ni zaidi ya kansa jaman. Alafu mwambie kuwa umechoka unataka mtengane, mamaweee! atakuganda kama luba "unajua tuna mtoto, unajua tumefika mbali" inahusu!. hapana haitakiwi kuwavumilia, mwanaume anakuwa kupe, wanaume wenye hiyo tabia acheni mara moja.
Kuliko kuoa wanawake dizaini hii ni bora mtu upige punyeto maisha yako yote.......hawakawii kukuwekea sumu hawa wanawake wa aina hii....
peleka ujinga wako huko, uwe mwanaume tegemezi alafu uchekewe tu, wanaume wote tegemezi hii mada imewanyima usingizi. tumien nguvu kutafuta pesa na kuhudumia familia, sio kutumia nguvu kuja kubishana na ke hapa.
Hayo ndio maisha uliyoyachagua na hakuna mtu aliyesema ndoa ni lazima......
But pole sana dada inaonekana ure desperate.... Its always happening in real life.
Kwa ujinga huu wa 50% pasu kwa pasu ni bora nikuwekee sumu utangulie kidg ulichokiacha ntajiongeza ntasonga mbele na watoto maisha yanasonga
Asante dada kwa kunitusi.....
Mijitu mitegemez ndio ilivyo, inaroho ya ubinafsi sana. unakuta limekaa linabadili chanel mwanamke ndio unaingia labda umejibeba vizawadi vya mtoto nalo linakwambia alafu mama soski zangu zimeisha, yaani unatamin umtukane 'mngese nini',