Usipohonga yakikukuta usilalamike

Katika maisha tafadhalini nawaasa msije soma wala kusikiliza habari za watu ambao wameshindwa kwani kila kitu kitakuwa kinyume na utaratibu uliopo.
 
Unasikia nilikaa na jinga kama wew nikaona napata nuksi maishan nikaamua kujiongeza, nilioshewa mpendwapendwa mie akatokea mwenye nidhamu anayejua majukumu akaniona ndio maana unaniona nipo happy, stress nishatupa kuleeee. na hapa sijasema wanaume wote otherwise umeninukuu vibaya. nazungumzia mabazaz ambao ni tegemez kama wew, tena tabia yakuwa tegemez kwa wanawake ipo siku mtabenjuliwa marinda
 
Hahaaa hahaaa, inabidi nicheke kwa nguvu. ..wewe ni mvulana suruali tuuu hata ujiteteeje ptyuuu...eti mwanamke ndo mtafutaji haya weeee

Sikulaumu endelea kusoma post zangu kwenye hii mada najua uteelewa...usianze kujustife
 
Mijitu mitegemez ndio ilivyo, inaroho ya ubinafsi sana. unakuta limekaa linabadili chanel mwanamke ndio unaingia labda umejibeba vizawadi vya mtoto nalo linakwambia alafu mama soski zangu zimeisha, yaani unatamin umtukane 'mngese nini',
 
Hahahaa haaaa Nimecheka
Eti macho yamemtoka!
 
Mijitu mitegemez ndio ilivyo, inaroho ya ubinafsi sana. unakuta limekaa linabadili chanel mwanamke ndio unaingia labda umejibeba vizawadi vya mtoto nalo linakwambia alafu mama soski zangu zimeisha, yaani unatamin umtukane 'mngese nini',

pole shost...mimi huyo tulipishanaga sana halafu ilikua hazipiti siku 2 ugomvi siku 2 ugomvi...haaa babu eeeeee shida yanini kila mtu akasambaa kivyake sijui lipo wapi nowadays!
 
pole shost...mimi huyo tulipishanaga sana halafu ilikua hazipiti siku 2 ugomvi siku 2 ugomvi...haaa babu eeeeee shida yanini kila mtu akasambaa kivyake sijui lipo wapi nowadays!

Usitake hata kujua lilipo, likafie kuleee.
 
Khaaaaa!
Hahahaa haaaa
 
pole shost...mimi huyo tulipishanaga sana halafu ilikua hazipiti siku 2 ugomvi siku 2 ugomvi...haaa babu eeeeee shida yanini kila mtu akasambaa kivyake sijui lipo wapi nowadays!

That is personal.... Usitafute huruma hapa kama Flora Mbasa...kama unataka mlete na huyo mwanaume aongee yake.
 
Well said!
Sina cha kuongeza!
 
Umemaliza? Au tusi jingne liko njiani....namuonea huruma atakaye/aliyepewa majukuma ya kukuvumilia 4 da rest f her lyf. Pole yake, learn 2 behave boy, walopevuka hawatukan ovyo.

Na wewe ubadilishe hiyo dhana yako na uache kutukejeli!
 
we Dada Mpole mbn watupigia kelele Kama waona jamaa anakuumiza na 50/50 percent kuchangia So uondoke nini kutupigia kelele Nenda kwa hao wanatakao kutunza utakavyo
 
I know my principles and I will stand by them kama kila ninachofanya kwenye ndoa hata nikiwa single naweza fanya mwenyew am soleee ndoa si lazima,am better off myself
 
wamezid kupotosha eti kuvumilia UMASKINI ndo true love. Wanaume wameshndwa majukumu hawa. Baba zetu walkua wanaume haswaa....mama zetu walitulia nyumban wakatulea, bila hata stress.

Hahahaa eti kuvumilia umaskini ndio mdudu gani huyoo, nasema hivi ni bora niwe singoooo, pumbaf
 
Thamani ya mtu haionekani kwa macho wala huwezi kuigusa kwa mkono; premise mbaya, conclusion mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…