Usipite bila kusoma hii

Usipite bila kusoma hii

NA BIBLIA JE? NAYENYEWE UNA KASI YA KUISOMA, KUIELEWA NA KUJAZWA MOYONI MWAKO KAMA ULIVYO NA SPEED YA KUUJUA ULIMWENGU WA GIZA?
MNANSO kwa uulizaji huu sitakujibu chochote kwakuwa huwezi kulinganisha jambo kubwa la kiroho na la kiimani na mambo ya kishirikina
 
HIVI NI BORA UKAJAA MAARIFA YA UFALME WA GIZA ZAIDI YA KUA NA MAARIFA YA UFALME WA MUNGU? JE NI FAIDA ZIPI KATIKA KUUJUA UFALME WA GIZA? ASANTE KWA MAJIBU
MNANSO ukitaka kumfahamu Mungu mjue shetani kwanza tena kindakindaki na ukitaka kumjua shetani mfahamu Mungu kwanza..nimeishi ulimwengu wa giza na sasa niko huru na sina tatizo
 
Mimi Nashaur tujadili hoja moja katika chanzo chetu cha taarifa
Kwa kuanza na jambo la kwanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom