Usipite bila kusoma hii

Usipite bila kusoma hii

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,085
701669d0fc8983dbdd15edbc3d7d09f9.jpg
 
  • Thanks
Reactions: ydn
meditation si ajabu hata padre wetu wa katoliki anaifanya, labda ndio vile tena....
 
meditation si ajabu hata padre wetu wa katoliki anaifanya, labda ndio vile tena....
Ukiweza kukaa naye Mkiwa wawili tu na akawa mkweli kwako atakuambia jambo la kushangaza mno
 
astrology ilitumika kumtabiri Yesu, naomba maneno yako machache kwa msingi wa bandiko lako kumhusu huyu jamaa na ushetani wa hiyo kutu.
 
astrology ilitumika kumtabiri Yesu, naomba maneno yako machache kwa msingi wa bandiko lako kumhusu huyu jamaa na ushetani wa hiyo kutu.
Astrology ipo ya aina mbili ya kimungu na kishetani
 
Tell us the true mshana
We ndio mfanyaji mzuri wa taamul na rakims tapel na ukatushaur tufanye Leo unasema hivyo
Be wpecific
 
Astrology ipo ya aina mbili ya kimungu na kishetani
mkuu umeruka swali la msingi ila labda niongezee mamajusi walitokea mashariki hawakuwa wayahudi dhahiri waliabudu eastern religion(s), pia ni dhana ya astrology iliyo nje ya uyahudi [kumbukumbu zinaonyesha kwa wakati huo magwiji wa hiyo kitu walitokea misri na mashariki ya mbali nafikiri china] ndio iliwafikisha kwa Yesu wakiwa na utabiri wao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom