Usipite bila kusoma hii

Usipite bila kusoma hii

Marihuana &pot parties mkuu msaada hapo nn hii kitu
1455903854605.jpg
 
mkuu umeruka swali la msingi ila labda niongezee mamajusi walitokea mashariki hawakuwa wayahudi dhahiri waliabudu eastern religion(s), pia ni dhana ya astrology iliyo nje ya uyahudi [kumbukumbu zinaonyesha kwa wakati huo magwiji wa hiyo kitu walitokea misri na mashariki ya mbali nafikiri china] ndio iliwafikisha kwa Yesu wakiwa na utabiri wao.
Wale hawakuwa kana hawa tunaofahamu wale ilikuwa ni utume maalum ili neno litimie
 
Wale hawakuwa kana hawa tunaofahamu wale ilikuwa ni utume maalum ili neno litimie
mkuu usiogope bifu na wenye dini zao, ushetani na uungu ni kama simba na yanga wakitoka uwanjani wanapiga stori kama kawa na wanapeana dili REF; kesi ya ayubu.
 
postmodernism ni ipi hiyo? Waliosoma pspa udsm kuna topic ya postmodernism.... Ndo hiyo?
 
Kumbe....[emoji102] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Asante mkuu; japo izo vocabulary nyingi no ngumu kuzielewa...ungejaribu kuzitranslet ingependeza zaidi tusije tukawa ni mademon Wa ibirisi buree bila hata kujua.
Mie nilizozipata hapo ni zile popular kama Freemasonry; church of Satan; illuminati groups na scull and born...zingine zotee patupuu c mwajua tena elimu ya chini ya mwembe. Asante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom