Kabisa mkuuHuko kusemwa semwa yani, drama,crime adventure kama hizo ndo napenda yani, nikisikia mtu ananiongele huwa nacheka kwanza na kufulahi.
But, mie shobo zakusalimia sinaga labda unianze kunisalimia.
Maeneo mengi ambayo napita na kusalimia ni yale ambayo tayar walinisihi nikipita niwe nawasalimia na nikaona inafaa.
Kabisa mkuuIyo ipo hivi kuna mtu anaweza kukuchukia bila sababu ili hali ujawahi ata mkwaruza pengine kucha yake na ukimuliza kwanini anakuchukia majibu yao mengi usema nmetokea tyu kutompenda au kumchukia mara damu zetu aziendan au basi tyu namchukia an hovyo hovyo tyu
Nilikaa Arusha kipindi flani, mara kibao nikimsalimia mtu anauchuna na kukunja sura juu...mpaka madukani na bar...ilibidi na mimi nijifunze tabia ya mikausho mikali...sikusalimii hadi unianze mimi ndio nitaitikia au nikiwa na uhakika huyu mwanangu nikimsalimia ataitika tu...nilivyorudi uswahilini kwetu dsm nikajisahau nikawa naendeleza hiyo tabia hadi siku moja mwana akanichana mbona umebadilika sana au una stressSi hao watoto wa kino wanasemaga mbagala uswahilini? Me napajua mpaka kule Mbande mbele mbele sijaona uswahili kama wa Sakina au kwa morombo, waarusha ni noma eti
Nilikaa Arusha kipindi flani, mara kibao nikimsalimia mtu anauchuna na kukunja sura juu...mpaka madukani na bar...ilibidi na mimi nijifunze tabia ya mikausho mikali...sikusalimii hadi unianze mimi ndio nitaitikia au nikiwa na uhakika huyu mwanangu nikimsalimia ataitika tu...nilivyorudi uswahilini kwetu dsm nikajisahau nikawa naendeleza hiyo tabia hadi siku moja mwana akanichana mbona umebadilika sana au una stress
Kama una mabaya lazima yaongelewe chini chini.
Unataka waongee mazuri yako tu wakati na mabaya unayo ?
Mkuu watu ni washenz..perhaps sis wengne tuna habat mbaya ya kuchukiwa na watu from nowhere...labda hujawai pitia hyo life...mtu anatangaza jamaa anajiona au anaringa sana yule.while hakujui humjui..mpo tu..au mtu anasema jamaa ana dharau sana...labda mionekano yetu wengne ina kasoro tunaonekana vbaya mbele za watu...unless uwe umepitia hyo life ndio utanielewa..na hyo ni tokea chuo etc
NdioUswahili ni culture.. au nyie mmekulia pale Washington DC
well said mkuuZaman niliona kuwa karib au kuzoeana na watu...salimia salimia watu labda ni njia mojawapo ya kuwa mtu bora kwenye jamii
Ila nikaja gundua...kwa upande wangu stakiw zoeana ..socialize na watu labda wale circle moja ambao ni nuclear family...some veeery few friends....
Na hii imenisaidia mwaka wa 8 huu naenda...aisee mi kama skujui sikusalimii wala sitotaka mazoea nawewe
Hii imetokana na kwamba ..walimwengu mo washenz sana....
Jamii humjenga mtu
Nilikuja gundua watu huwa hata nijipendekeze vip ku socialize nao..huwa chin chin wanaongea mabaya juu yangu...na mwisho ni eithr wani disapoint kwa namna moja ama nyingne...au mtu anaamua tu kukudhulum bila kujali..yaan umemsaidia kumbw yey wala hajal..anaweza kukupiga tukio ukashangaa ni yeye kwel. Kumbe nkaja gundu weng mbele yangu ni kondoo waliovalia ngoz ya chui....mtu hakujui humjui ila anakusema vbaya.tena hao ni wanaume..mtu anaweza kwambia .jamaa flan amekuponda leo wakat umepita..etc etc..sasa unajiuliza..inamana walikua wananiongelea ama...
Sasa kutokana na tabia hzo. Nmekua bitter...yaan mi sichekag na nyan..wawe vijana wangi wa kaz or wateva..ndugu sjui wa mbali wale..sjui nan.jiran wale wanaosemaga ukipatwa na matatzo sis ndo utatuita. Nasemaga nyie wa....se tu na mtaendelea kuwa hvyo....
Kiukwel nawafundisha hata nyir ndugu zangu wa jf...msicheke na kima...
Imagine unamtoa mtu mkoa.unampa kaz malaz.unamtibia etc..huyo huyo anakuibia au kukusema mabaya etc..huu ni mfano tu...au jiran anashida unamsaidia kumbe yeye ndo namba 1 kuongea mabaya ..
Nasemaje sijutii kuwa kauzu..na ntaendelea kuwa kauzu milele...
Uzi tayar.
bila shka amejaribu ku-share nasiUzi tayari mean, ulikuwa unajifunza kutoa uzi or?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
et kimbiaaBroo ndio usisalimie hata majirani? Wewe salimia chapa lapa,ila usivunge kabisa..! Toa salamu kibinadamu tembea zako ila wakianzisha story hapo sasa ndio kimbia.
Mkuu umechelewa kugundua hilo, ila sio mbaya, karibu sana kaka!Zaman niliona kuwa karib au kuzoeana na watu...salimia salimia watu labda ni njia mojawapo ya kuwa mtu bora kwenye jamii
Ila nikaja gundua...kwa upande wangu stakiw zoeana ..socialize na watu labda wale circle moja ambao ni nuclear family...some veeery few friends.
Na hii imenisaidia mwaka wa 8 huu naenda...aisee mi kama skujui sikusalimii wala sitotaka mazoea nawewe
Hii imetokana na kwamba ..walimwengu mo washenz sana.
Jamii humjenga mtu
Nilikuja gundua watu huwa hata nijipendekeze vip ku socialize nao..huwa chin chin wanaongea mabaya juu yangu...na mwisho ni eithr wani disapoint kwa namna moja ama nyingne...au mtu anaamua tu kukudhulum bila kujali..yaan umemsaidia kumbw yey wala hajal..anaweza kukupiga tukio ukashangaa ni yeye kwel. Kumbe nkaja gundu weng mbele yangu ni kondoo waliovalia ngoz ya chui....mtu hakujui humjui ila anakusema vbaya.tena hao ni wanaume..mtu anaweza kwambia .jamaa flan amekuponda leo wakat umepita..etc etc..sasa unajiuliza..inamana walikua wananiongelea ama.
Sasa kutokana na tabia hzo. Nmekua bitter...yaan mi sichekag na nyan..wawe vijana wangi wa kaz or wateva..ndugu sjui wa mbali wale..sjui nan.jiran wale wanaosemaga ukipatwa na matatzo sis ndo utatuita. Nasemaga nyie wa....se tu na mtaendelea kuwa hvyo.
Kiukwel nawafundisha hata nyir ndugu zangu wa jf...msicheke na kima.
Imagine unamtoa mtu mkoa.unampa kaz malaz.unamtibia etc..huyo huyo anakuibia au kukusema mabaya etc..huu ni mfano tu...au jiran anashida unamsaidia kumbe yeye ndo namba 1 kuongea mabaya.
Nasemaje sijutii kuwa kauzu..na ntaendelea kuwa kauzu milele.
Uzi tayari
Unahitaji ila sio kila MTU, elewa mada!Sio kweli. Tunahitaji watu, ni nzuri for mental state-a sense of belongingness and being loved helps us to be in check.
Nakazia..Andiko bovu kabisaa kulisoma toka mwaka huu uanze.
Mkuu ongeza thamani ya uandishi wako