Usipende kuzoeana na watu, utaishi kwa furaha sana

Huyu ni mimi kabisa sinaga time yani kama hatujuani sina story na wewe, hata kazini ni the same tu sasa siku moja dada mmoja akamuuliza mdada mwingine ambae niko nae karibu kuwa mbona huyu kaka hanisalimiagi ? Nae akamuuliza wewe umewahi kumsalimia? au unataka akushobokee. Alivyoniambia yule dada jibu lake nilimpa soda.
 
Safi sana mkuu mi kuna jirani yangu simsalimii siku moja akaniuliza shida Nini jirani nikamjibu hua nakuona kama jiwe tu.Mwingine kiongozi wa kiroho alileta ujinga nikamwambia kuanzia leo nimechagua kutokukuheshimu tu.Usicheke na pimbi mkuu.
Hahaha.duh..hatar sana
 
Kuna mahali niliwah kaa mwaka wale majirani sijawah wasalimia hata majina siwajui..

Kwanza kama njia kuna vile vikundi wanakaa nje huwa nabadili njia kuepukA ujinga wa kusalimiana salimiana na kuleteana mazoea ya kijinga..
 
Yah ..huwa nafanya hvyo sometime.ila nikiona kajikund flan kametulia halaf kwa mbal unaona walee wanakuangalia huku wanaongea halaf ukifika wananyamaza..sasa hapo mi ndo hata salam au hata kushusha vioo huwa sithubutu....na wajiloge sku1 kuniletea wez kwangu hapa..maana mguu wa kuku sjawai utumia toka niuchukue...(joke)

Mbona kama huwa unajihisi hivi
 
Hahahaa !!! Tatizo ulicheka na nyan mpaka wakakuona bwege dunia hii ya sasa hutakiw kutabilika mm ni both kauzu na kuna mda huwa naongea na watu watu wakihoji mbona jana ujasalimia nawaambia kuna sehemu nilikuwa nawah yaan salamu huwa haitabilik naweza kukusalimia au nisikusalimie yaan ni mtata
 
Kwani wakikusema unakufa?? Usiache kusalmia watu kisa wanakusema, labda kama kuna sababu nyingine ya msingi
 
Mkuu watu ni washenz..perhaps sis wengne tuna habat mbaya ya kuchukiwa na watu from nowhere...labda hujawai pitia hyo life...mtu anatangaza jamaa anajiona au anaringa sana yule.while hakujui humjui..mpo tu..au mtu anasema jamaa ana dharau sana...labda mionekano yetu wengne ina kasoro tunaonekana vbaya mbele za watu...unless uwe umepitia hyo life ndio utanielewa..na hyo ni tokea chuo etc
Hii ni kweli kabisa

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu watu ni washenz..perhaps sis wengne tuna habat mbaya ya kuchukiwa na watu from nowhere...labda hujawai pitia hyo life...mtu anatangaza jamaa anajiona au anaringa sana yule.while hakujui humjui..mpo tu..au mtu anasema jamaa ana dharau sana...labda mionekano yetu wengne ina kasoro tunaonekana vbaya mbele za watu...unless uwe umepitia hyo life ndio utanielewa..na hyo ni tokea chuo etc

Iyo ipo hivi kuna mtu anaweza kukuchukia bila sababu ili hali ujawahi ata mkwaruza pengine kucha yake na ukimuliza kwanini anakuchukia majibu yao mengi usema nmetokea tyu kutompenda au kumchukia mara damu zetu aziendan au basi tyu namchukia an hovyo hovyo tyu
 
Huko kusemwa semwa yani, drama,crime adventure kama hizo ndo napenda yani, nikisikia mtu ananiongele huwa nacheka kwanza na kufulahi.

But, mie shobo zakusalimia sinaga labda unianze kunisalimia.

Maeneo mengi ambayo napita na kusalimia ni yale ambayo tayar walinisihi nikipita niwe nawasalimia na nikaona inafaa.
 
Back
Top Bottom