Usipende kuzoeana na watu, utaishi kwa furaha sana

Mimi ndo tabia yangu tokanizaliwe imenisaidia sana kumasta kazi yangu vizuri kwa ufupi huwa stai kusikia ay kufuata jambo ambalo halinijengi kiuchumi au kimaisha.naweza nunua king'amuzi nikaangalia mara moja kustukia muda umeisha watu ndo kabisa kusocualized huwa siwezi kama hatuna ishu mimi na wewe.
 
Dunia ni watu na hao watu ni mimi na wewe.....Utahudhunishwa na watu lakini pia utasaidiwa na watu......huwezi kujua ni lini utahitaji msaada wa watu.....

Kuna wakati mambo yasiyo tarajiwa hututokea maishani wakati na muda wowote na hapo ndio tutahitaji watu kutusaidia kwa namna moja au nyingine.....kinachohitajika ni kuchunga mipaka yako dhidi ya watu wengine huku ukitimiza wajibu wako kama mwanajamii.......hupaswi kuhangaishwa na yanayoendelea nyuma yako......

Hao hao unaowapita bila ya kuwasalimia iko siku watakuja kuwa msaada mkubwa sana kwako......

DUNIA MSONGAMANO.......
Umeongea sawia kabisa...ila mim support kubwa naipata kutoka kwa my nuclear family mkuu...n few friends...kiukwel sinaga muda na the other side...wapo wachche.sio wote...ofcourse siwez ishi peke yangu peke yangu wapo watu ila wachche mnoo
 
Mkuu upo kama mimi nakumbuka marehemu baba yangu aliwahi kuniambia.... ukienda ugenini jitahidi sana kuwajua wenyeji wako kabla wao hawajakujua na ili uwajue inabidi usiwazoee haraka..aisee hii imenisaidia kuwa kauzu inasaidia sana....
 
Mimi ndo tabia yangu tokanizaliwe imenisaidia sana kumasta kazi yangu vizuri kwa ufupi huwa stai kusikia ay kufuata jambo ambalo halinijengi kiuchumi au kimaisha.naweza nunua king'amuzi nikaangalia mara moja kustukia muda umeisha watu ndo kabisa kusocualized huwa siwezi kama hatuna ishu mimi na wewe.
Na ukiona mtu anazoeana na kila mtu ujue huyo mtu ni tatizo
 
Mimi ndo tabia yangu tokanizaliwe imenisaidia sana kumasta kazi yangu vizuri kwa ufupi huwa stai kusikia ay kufuata jambo ambalo halinijengi kiuchumi au kimaisha.naweza nunua king'amuzi nikaangalia mara moja kustukia muda umeisha watu ndo kabisa kusocualized huwa siwezi kama hatuna ishu mimi na wewe.
Siri hii wanaijua wachche...nimeish west miaka flan..nikaja gundua y wenzetu wako vile...unaweza usimwone jiran mwez mzima..kumbe ni sabab ya hii...kuepusha migogoro
 
Umeongea sawia kabisa...ila mim support kubwa naipata kutoka kwa my nuclear family mkuu...n few friends...kiukwel sinaga muda na the other side...wapo wachche.sio wote...ofcourse siwez ishi peke yangu peke yangu wapo watu ila wachche mnoo
Jaribu kubalance mahusiano na wanaokuzunguka hata kama hujuani nao bila ya kutazamia jambo lolote kutoka kwao.....
 
Mkuu upo kama mimi nakumbuka marehemu baba yangu aliwahi kuniambia.... ukienda ugenini jitahidi sana kuwajua wenyeji wako kabla wao hawajakujua na ili uwajue inabidi usiwazoee haraka..aisee hii imenisaidia kuwa kauzu inasaidia sana....
Hyo ya kuwajua kabla ya wao kukujua nimeibeba mkuu...ntaendelea gongelea nyundo kwenye principle zangu.
 
Jaribu kubalance mahusiano na wanaokuzunguka hata kama hujuani nao bila ya kutazamia jambo lolote kutoka kwao.....
Mkuu watu ni washenz..perhaps sis wengne tuna habat mbaya ya kuchukiwa na watu from nowhere...labda hujawai pitia hyo life...mtu anatangaza jamaa anajiona au anaringa sana yule.while hakujui humjui..mpo tu..au mtu anasema jamaa ana dharau sana...labda mionekano yetu wengne ina kasoro tunaonekana vbaya mbele za watu...unless uwe umepitia hyo life ndio utanielewa..na hyo ni tokea chuo etc
 
Safi sana mkuu mi kuna jirani yangu simsalimii siku moja akaniuliza shida Nini jirani nikamjibu hua nakuona kama jiwe tu.Mwingine kiongozi wa kiroho alileta ujinga nikamwambia kuanzia leo nimechagua kutokukuheshimu tu.Usicheke na pimbi mkuu.
 
Back
Top Bottom