usiombee utongozwe na mwalimu hapa jamii forums

usiombee utongozwe na mwalimu hapa jamii forums

Status
Not open for further replies.

mimi ai

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
89
Reaction score
30
atakutongoza kwa kiingereza,simu ataongea kiingereza utafurai umepata bonge la bwana linafanya kazi emmbasy ,un,usaid au ni mdiplomat yoyote kumbe ni mwalimu wa civics na history shule ya kata huko kongowe hajalipwa hata mishahara miezi mitatu.!
nawasilisheni
kuweni wakweli ndo hilo tu
 
Tatizo la kuwa na matarajio makubwa juu ya jambo/kitu usicho kifahamu.
 
Mnatuzarau walimu, sawa bana lakini hiyo history na civics imekufaanya ufike hapo ulipo. Heshima ni bure.
kongosho nimekumiss wangu..hivi unafundisha somo gani tena mamii kuna topic sikuelewa
 
Jogorafia na hesabu, hasa jogorafia ya mwanamke
ooh a level nilisoma cbg nilikuwa sipendi kabisa physical geography !kukariri yale mafeature mimi hoi huo muda nilikuwa naona bora nisome biology ! ngoja nitakuja unifundishe mwalimu .....hesabu sina shida kiivo
 
Hayo ndo matokeo ya "big results now" kwani malimu hajaqualify kuwa mwanaume? sasa si ushukuru umepata hat huyo mwalimu unauhakika wa mshahara kila mwezi japo amecheleshewa,kuna wengine hata hiyo kazi hawajui watapata lini yaani wanaiota!
 
Ha ha ha haaa haki ya nani akutukanae hachagui tusi..... Nimecheka wallah
 
ha ha ha......shosti pole......jamii forum kuna senema za kutosha wallah...........ila kuna watu kizunguzungu jamani........full mashauzi.....njoo muone sasa.......mweeeee........
yaani preta sina mbavu ujue
 
Online flirting is not good at all............unakuwa na maexpectation kibaoooooo
 
atakutongoza kwa kiingereza,simu ataongea kiingereza utafurai umepata bonge la bwana linafanya kazi emmbasy ,un,usaid au ni mdiplomat yoyote kumbe ni mwalimu wa civics na history shule ya kata huko kongowe hajalipwa hata mishahara miezi mitatu.!
nawasilisheni
kuweni wakweli ndo hilo tu

Jf rahaaaaaa
 
umeonaa eeh kitu cha ukweli inaweza ujihonge mzima mzima ..ila ndo hivo utakuta ni nanihii kongowe eti ...ze wallet is ziro balance

hahaaaaaa ukiona avatar unadhni ndo yeye.......haya mambo haya
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom